Top 10 Disadvantages Of Marrying A Beautiful Woman...

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,060
2,000
This research has actually taken me and my crew 5 years to arrive at these findings.

1. High chances of her cheating on the husband

2. Lack of respect for the husband

3. Psychological trauma for the husband

4. Likely to have beautiful daughters as a results with its own troubles

5. Natural imbalance, a clear case of the beauty and the beast.

6. Financial problems as our study revealed that, most beautiful ladies are lazy and demanding

7. HIGH likelihood of the husband cheating as most beautiful women are weak in bed

8. Most beautiful wives are terrible at cooking

9. Egoism: Most beautiful wives are very egocentric and disrespectful

10. Most beautiful wives are infertile and often give birth to midgets


thank you
cool.gif
 

Heart

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
2,674
2,000
mmmh... Nakuomba Mungu uniepusha na hayo mabalaa jamani!
 

smallvile

JF-Expert Member
Sep 12, 2012
493
250
ama kweli tuna haja ya kudai references na kuisoma hio pepa,, maana hio namba kumi imekaa pazuri,, ebu mtupe literature review just kidogo, most are infertile,, what is the percentage of most,, 10% au 69% au ni ngapi ?
 

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,367
2,000
Syllogism:
1. Wanaume wote wanaoa wanawake wanaowaona ni wazuri
2. Hivyo wanawake waliiolewa ni wazuri
3. Then, wanawake wote walioolewa wana sifa hizo mbovu hapo juu

Does this make sense, if not then we have to define "mwanamke mzuri" before we discuss the above 10 arguments

Ngoja waje wenyewe,hawawezi michezo ya dunia, Lo!
 

Mpitagwa

JF-Expert Member
Feb 10, 2012
2,340
2,000
Tupe link basi ya paper yako. Ili tisikuhukumu kabla ya kuipitia; l hope mlidefine hiyo beautifulness ili twende pamoja!

Kaunga upo juu. Umenifuraihisha sana ulivyorespond kwenye hiuu uzi. Aweke paper hadharani tuone definition ya beauty, methodology then ndoo tutoe comments kwenye hizo findings. Maana beauty is very subjective. Tunaweza kujikuta tunataka hata tuone background ya researchers wenyewe na uzoefu wao kwenye haya mambo.
 

guta

Senior Member
Sep 24, 2010
186
195
Ndoa ndoano, ikikunasa huna ujanja, kama umeoa mbaya imekula kwako, kama umeoa mzuri imekula kwako, all in all upate mke mwenye hakima. sio kwamba wabaya hawana sifa hizo, kila mmoja inategemea na makuzi. kuna wazuri wanasifa nzuri. kuna wabaya wanasifa mbaya. kuna wazuri wanasifa mbaya, kuna wabaya wanasifa nzuri. mie naona ni 50 - 50.
 

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
4,695
2,000
Any gist of research? Your mother is very beautiful next to handsome and I have nary suffered all those setbacks you have enumerated above.
 

snowhite

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
17,151
2,000
konnie please!my ribs!
halafu kuna bestito mmoja ametusumbua humu mchana we acha tu! muulize Suprise
 
Last edited by a moderator:

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,014
1,500
a man marrying a beautiful woman, and a man growing corn along a road has the same problem.
 

Asnam

JF-Expert Member
Jan 18, 2012
4,258
2,000
hakuna ukweli hapa hizi ni kupakana matope, au una sura ngumu unaipromo nini?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom