mwaka(2013) huu mmetukosa kosa, mwaka ujao(2014) sijui itakuaje!!!!

baptist

JF-Expert Member
Sep 26, 2013
387
250
Nimekutana na mdada hapa mitaa ya Stand Arusha ni hatari sana, hiyo shepu(hips, makalio, kiona chembamba) ni shida, watu wanapishana tu kugeuka kila mtu kwa muda wake, kuna wazee wamekaa dukan hapa wanapateje shida wanaangalia mpaka basi. wanabaki nanongonezana tu wanatamani wangerudia ujana ili wafaidi vizuri. wadada/wamama mwaka huu mmetulenga sana na mavazi yenu lakini tunashukuru kwa kuwa mwaka unamalizika salama, ila mwakani nahisi ndo mtatembea naked kabisa maana tunapoelekea ni noma, kila dada anataka kuonyesha what she got na kila mwanamke siku hizi ni mzuri lazima atakuteka tu, kwa silaha yake aliyojaliwa (shape, miguu, macho, nywele n.k)

vitabu vya dini vimeandika ukitamani tu umetenda dhambi sasa, kwa stahili hii kuna mtu mwaka huu hajatenda hi dhambi ya kutamani kweli. hivi vivazi haviishii hapo utakutana navyo ofisini, kwenye daladala, bank yan kila kona wadada wamelipuka ikifika usiku ndo unana kila kitu wazi wazi.. aisee ni shida

sasa sijui 2014 wataingia na makombora gani mwaka huu tumepone bahati sana....

wazo huru; no offence
 
Himidini

JF-Expert Member
May 8, 2013
5,540
1,225
^^
Watafanya nini ikiwa mnawatafuna na kuwatupa kama jojo!
Waacheni watembee uchi tu, tutabaki sie ambao mishipa ya kutamani na kupenda ilishakata mawasiliano
^^
 
MPUNGA

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
838
500
Nimekutana na mdada hapa mitaa ya Stand Arusha ni hatari sana, hiyo shepu(hips, makalio, kiona chembamba) ni shida, watu wanapishana tu kugeuka kila mtu kwa muda wake, kuna wazee wamekaa dukan hapa wanapateje shida wanaangalia mpaka basi. wanabaki nanongonezana tu wanatamani wangerudia ujana ili wafaidi vizuri. wadada/wamama mwaka huu mmetulenga sana na mavazi yenu lakini tunashukuru kwa kuwa mwaka unamalizika salama, ila mwakani nahisi ndo mtatembea naked kabisa maana tunapoelekea ni noma, kila dada anataka kuonyesha what she got na kila mwanamke siku hizi ni mzuri lazima atakuteka tu, kwa silaha yake aliyojaliwa (shape, miguu, macho, nywele n.k)

vitabu vya dini vimeandika ukitamani tu umetenda dhambi sasa, kwa stahili hii kuna mtu mwaka huu hajatenda hi dhambi ya kutamani kweli. hivi vivazi haviishii hapo utakutana navyo ofisini, kwenye daladala, bank yan kila kona wadada wamelipuka ikifika usiku ndo unana kila kitu wazi wazi.. aisee ni shida

sasa sijui 2014 wataingia na makombora gani mwaka huu tumepone bahati sana....

wazo huru; no offence
Maandiko matakatifu yanasema ukioa jicho lako moja linakukosesha utakatifu basi huna budi kuling'oa
 
MASELE

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
792
500
kama jicho lako linakufanya utende dhambi ling'oe, kama mdo yote ng'oa tupa kule mwanawane, ni heri kuondoa kiungo chochote kinachokufanya utende dhambi hata hiyo dushe ukiona inasimama bila mpangilio maalumu ipige nyundo mwanawane.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom