Not married,married or divorced

Nyamgluu

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
3,153
2,000
Wadau kwenye form unazojaza wakati unatua nchi mbali mbali au hata ukiwa unajaza personal information kwenye form yeyote duniani kuna kile kipengele cha marital status huwa sikielewi vizuri.
Kwanini choice isiwe Not married na married tu? Kwanini kuna section ya divorced/widowed/separated? Zina umuhimu gani sababu mtu ni aidha married au not married full stop.

Mwenye uelewa zaidi anijulishe.
 
Mc Tilly Chizenga

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
4,631
2,000
zote hizo ni status,hauwezi kuwa divorced mpaka uwe umeoa na kuachana,hivyo status yako ukiachana ni divorced tu haiwezi kuwa not married sababu ulishaoa!ukiona neno divorced linakera tumia neno MSTAAFU!teh teh teh
 
Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
3,397
2,000
Wadau kwenye form unazojaza wakati unatua nchi mbali mbali au hata ukiwa unajaza personal information kwenye form yeyote duniani kuna kile kipengele cha marital status huwa sikielewi vizuri.
Kwanini choice isiwe Not married na married tu? Kwanini kuna section ya divorced/widowed/separated? Zina umuhimu gani sababu mtu ni aidha married au not married full stop.

Mwenye uelewa zaidi anijulishe.

acha kizungu kiwe kizungu mkuu.
 
Nzowa Godat

JF-Expert Member
Jun 15, 2011
2,759
2,000
Wadau kwenye form unazojaza wakati unatua nchi mbali mbali au hata ukiwa unajaza personal information kwenye form yeyote duniani kuna kile kipengele cha marital status huwa sikielewi vizuri.
Kwanini choice isiwe Not married na married tu? Kwanini kuna section ya divorced/widowed/separated? Zina umuhimu gani sababu mtu ni aidha married au not married full stop.

Mwenye uelewa zaidi anijulishe.

Nia ya hizo status ni kutaka kutambua social interaction yako. Wanatafuta kianzio cha kujiuliza maswali yafuatayo: kwa nini umekuwa:- divorced, widowed, separated, unmarried au married..???
 
Daudi1

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
6,929

Na wao wanajua kuna kuachana halafu hata stress zinatofautiana za married,not married na hao wengne so wanataka wajue jinsi ya kuhandle endapo itatokea hali isiyo ya kawaida,Pia ukiwa married then ukaachika tayari status inabadilika huwez kuwa sawa na ambaye hayuko married
 
miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,848
2,000
Kumbe lengo lao ni kutaka kujua aliyeonja raha na ambaye haijui hiyo raha?

yah ili hata ukitaka kutema mate hapo ujue unaongea na mmtu wa namna gani ..... usijetongoza divorced women kama unavyotongoza not married women
 
Daudi1

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
6,929
2,000
yah ili hata ukitaka kutema mate hapo ujue unaongea na mmtu wa namna gani ..... usijetongoza divorced women kama unavyotongoza not married women
Nipe darasa rafiki kwani not married woman anatongozwaje na huyo divorced anatongozwaje ili nisije kuchanganya madesa nikaangukia pua
 
nanjilinji

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
1,154
1,500
divorced na not married ni tofauti kabisa bwana ,,,... mmoja ameonja raha ya ndoa mwingine bado
Unaniruhusu nikusahihishe mamito? Not married ni group la (divorced, separated, widowed na never married) nadhani ulimaanisha never married ambaye tunategemea hajawahi kuonja kulala na mwenzi hadi asubuhi kihalali. Never married ndio unaweza kukuta watu walio na bikra. Kuna makundi makuu matatu i. Ever married, ii. Currently married na iii. never married. Ever Married (separated, divorced and widowed) and Never married are called single. Katika uhamiaji hii kitu ni muhimu maana siamini hata Jack angalikuwa ni mke wa mtu au ana mtoto anayemtegemea angaliweza kwenda MACAU. Akiingia mtu ambaye ni currently married uharaka wa kurudi makwao ni mkubwa kuliko wengine n.k.
 
Nyamgluu

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
3,153
2,000
Nia ya hizo status ni kutaka kutambua social interaction yako. Wanatafuta kianzio cha kujiuliza maswali yafuatayo: kwa nini umekuwa:- divorced, widowed, separated, unmarried au married..???

Halafu wakijua itawasaidia nini?
Nachojua ni kwamba kwenye job application kwa mfano au scholarship app wantaka wajue kuwa kama una mwenza wafahamu kwamba watawezaje kum accomodate if the need arises. Mfano je utaweza pewa kazi ya kuhama hama au kusafiri mara nyingi, kama ndivyo unaweza pewa allowance ya kuwa na mwenza wako.
Ila bado sijapewa sababu ya nguvu yaku support info ya divorced/widowed au separated.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom