Eldorah2013
Senior Member
- Aug 6, 2013
- 119
- 61
Heri ya mwaka mpya wanajamvi! Ni mara ya kwanza najitokeza kwenu nikiwa na shida ya kutaka kujua hili: nilikuwa na mchumba/mpenzi 2liyeishi nae muda mrefu 2kiwa na malengo likiwemo la kuish pamoja, ila kilichokuwa kikinishangaza ni pale ilipokuwa inatokea utofauti kidogo kati yetu basi inakuwa tangazo kwa kila aliye na uwezo wa kumskiliza yaan anaongea kupita kiasi ata siri zisizofaa kusimlia anatoa kwa jirani, ndugu, jamaa, marafiki kubwa zaidi adi mama yake mzazi anamsimlia ata ambavyo havifai, mwanzoni nlimwambia sipendi tabia yake akasema amejirekebisha akapunguza ila sio sana, yeye akijiskia tu anaanzisha topic juu ya uhusiano wetu iwe 2navyoish, 2navyokosana, 2navyofanya mapenzi, 2navyolala,na vingne vingi. Tabia ile iliendelea kunikera adi nkajikuta namchukia sku adi sku ata ndoto ya kuish nae ikafutika ingawa yeye alikuwa amefikia hatua ya kutaka kwenda hom me nkawa namwambia avute kdogo coz wazaz hawatanielewa ukizingatia ndo namaliza ivi chuo ata kazi cjapata, kumbe me jibu nlompa akalianzishia topic kwao nikawa wa kujadiliwa wakamshauri me sifai, naye akafuata ushauri wa wazazi wake akaniambia nami nikaridhika na uamzi alochukua nikajiweka pembeni ata simu sipigi wala sibp, sasa nashangaa anavyonitangazia kwa marafiki mengi ya uzushi ambayo skuwai ata kuyaskia mara amenigharamia sana,mara cjui kunisomesha wakati huo ata nkiesabu ela alonipa ya kawaida tu km wapenz haiezi fika ata laki2 na nashukuru pia sina tamaa ya pesa ya m2 cha mhim ni mapenzi, kwa upande wangu amekuwa akiniandikia msg za vitisho mara nitamjua ye ni nani na hakuna ata 2lichokosana zaidi ya yeye kuskiliza ushauri wa wazaz na ndugu zake nami kujieka pembeni. Naombeni msaada wenu hapo