Ujumbe we Mwaka mpya kwa wadada

Ujumbe we Mwaka mpya kwa wadada

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,901
Ukitaka kuwa na raha na Mumeo na mpenzi wako .Mwache mwanaume akupende kwanza sio wewe MWANAMKE Uwe ndio unapenda Sana .Hakuna raha ya mwanaume akuone malaika duniani .Relax upendwe Achana na kuangalia wallet yake kufungua computer au kuangalia mifukoni kuna nini.Simu yake ni yake siyo yako respect his privacy na matatizo yako ya ndoa muyamalize Wenyewe sio mashoga,usimtenganishe na ndugu zake wala rafiki zake .Life is too short enjoy every moment .its me mrs Rutherford
 
labda akiwa bikra ndio atakuwa na hiyo sensibility lakini kama kashagegedwa hiyo wisdom upotea pia
 
Thank you Mrs Rutherford for a very good message....Happy New Year.

 
Last edited by a moderator:
tumekuelewa Mrs Rutherford, ila tatizo linakuja kua,
wanaotupenda hatuna habar nao, hawakizi vigezo..
majanga yanaanza kwa wale tunaowapenda sasa....

ni shiiidah!!!
 
Kweli acha ni relax,nitulie nipendwe.Asante kwa maneno maridhawa haya
 
Back
Top Bottom