Wanaumeee!!! Njia za kutongoza mwanamke na kukupenda daima...

Wanaumeee!!! Njia za kutongoza mwanamke na kukupenda daima...

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,091
Reaction score
34,899
[h=3][/h]





​
Kuna baadhi ya wanaume hawajui jinsi ya kuzungumza na mwanamke au msichana. Kwa njia hii wanaume wengi wanaishi maisha ya bila kumvutia mwanamke yeyote.
Hapa kunanjia 15 utakazozitumia wewe mwanaume ili kuhakikisha humkwazi mwanamke unayempenda mnapokuwa katika mazungumzo 1. Wakati ukizungumza nae, jaribu kuzungumzia "hisia" kama vile kumbu kumbu yako ya utotoni, matarajio ya baadae au matamanio yake. Mada hii ya mazungumzo yenu yatafungua milango ya hisia zake ghafla.

2. Wanawake huhitaji mwanaume asiyekuwa na uoga wa kuwamiriki na kuwaongoza. Wakati unazungumza na mwanamke tawala mazungumzo yenu na kamwe usimpe nafasi ya yeye kuanza kufikiri kuwa nini ulichokuwa ukizungumzia.

3. Kuwa makini wakati unapokuwa ukizungumza nae huku akikupatia majibu yasiyo na hisia zozote za mapenzi. Hapo utajua kunakitu, hivyo kama kwa bahati mbaya uko nae karibu kiasi cha kugusana, basi jisogeze pembeni wakati ukiwa unaendelea kuongea ili asishtukie au unaweza kumuona hayuko sawa katika utoaji majibu.. kwa kawaida atakuonyesha ishara, hivyo kuwa nazo makini.

4. Kumbuka hii kauli mbiu "Ucheshi/vituko si mapenzi". Wanawake huvutiwa sana na wanaume wanaoweza kuwafanya wawe na furaha muda wote. Usijikite zaidi katika kufanya utani unaopita kiasi na kusahau ulichokuwa unaongea. Bali jikite zaidi katika mambo yanayomfanya ajisikie kuwa na msisimko na starehe wakati ukonae.

5. Zama katika undani wa mazungumzo baina yako na yeye. Mwanamke huendana na mwanaume asiyekuwa muoga wa kuzungumzia mambo binafsi kwa ukaribu.
6. Wanawake wengi hupenda kujua maoni yako kuhusiana na jinsi unavyomuona. Mwambie vitu unavyoviona kutoka kwake, lakini jaribu kuwa makini ili usitamke vitu vingine vitakavyo msababishia apoteze furaha.
7. Epuka kumpa ofa nyingi mwanamke, mwanamke huwa na mashaka na mwanaume anayempatia vitu vingi kwa wakati mmoja ama kila mara. Kwasababu atafikiri vitu unavyompatia ni kutaka kumvutia tu ili umpate kiurahisi. Kitu ambacho baadae kitaleta madhara makubwa.

8. Kama unahitaji kujua njia nzuri ya kuweza kuongea na mwanamke au msichana bila kumfanya asikudharau au kuboreka, basi usitumie njia ya kumuuliza maswali mengi katika mazungumzo yenu. Bali jaribu kueleza mawazo yako kuhusu vitu flani.
9. Kumbuka kauli juu ya kuuliza maswali: Badala ya kumuuliza "wewe umekulia wapi?", uliza "unaonekana kama hujakulia maeneo haya!" Hii itakusaidia wewe kufanya uchunguzi juu yake bila yeye kujua.

10. Usifiche utambulisho wako - zungumza vitu kutoka katika hisia zako, onyesha uhalisia wako katika kuzungumza na usitumie mikogo ya mtu yeyote.

Njia bora ya kufikiria jinsi ya kuzungumza na mwanamke, ni kutambua njia sahihi ya mazungumzo ya furaha na yakimahaba utakayopenda kuitumia, isipokuwa usimuige mtu. Kuzungumza na mwanamke sii vigumu bali nikujua ni vitu gani hasa mwanamke hapendi kuvizungumzia na vitu gani anapenda kuvisikia. Fuata maelekezo hapo juu utaona matunda yake...kisha rudi toa maoni yako hapa.

MUHIMU: Maelekezo haya yote yatafanikiwa kwa mwanamke mwenye kuhitaji mapenzi ya kweli - yani sio kwa wanawake wanaolenga kuchota pesa kwako na kutokomea. Hivyo kuwa makini sana.
 
Mzizi Mkavu sie wengine tushakuwa wazee nakutongoza watoto hawa wa dot com si itakuwa vichekesho mitaani?
Mimi hata kutongoza nimeishasahau hata sijui nimuanzie vipi
Bora nikae tu nione vijana wanavyochangamka
 
mi nilimwonyeshaga tu hii
A%20S-heart-2.gif
akadata fully
 
Heaven on Earth ameshazisoma na ameshajua hizi mbinu, sasa nitafanyaje. Nilitaka kutumia hizi mbinu nimpate....
 
Mzizi Mkavu sie wengine tushakuwa wazee nakutongoza watoto hawa wa dot com si itakuwa vichekesho mitaani? Mimi hata kutongoza nimeishasahau hata sijui nimuanzie vipi Bora nikae tu nione vijana wanavyochangamka
wap nyie wazee ndo wabaya kweli mnapiga sana mabinti nyie,hata usizuge
 
Mzizi mkavu hujaitendea haki iyo picha em shusha kidogo tuone kiuno kimebaba nn?
 
JF Darasa huru kwel.

Sasa mzizi mkavu ungeweka angalizo kuwa ni kwa wanaume tu.
Hapa tiyar wanawake washazisoma hizo strategies na hapa jukwaan kunawanaume wanatafuta wana wake .
Kwa mfano
............na ....... Wana watafuta..........na.......
 
Mzizimkavu asante kwa hili darasa lakini kuna wale ambao wameshasahau kabisa wao huuliza "Kwani sh ngapi?":A S shade:
 
Back
Top Bottom