Thanx fr th nc mssg
Hii kabla kitu nilianza kuifuata kama three years back my life ilichange sana nikawa free na moyo wangu na maendeleo nikayaona....
Unakuta mtu hakusemeshi mwaka au miaka then akisema basi anashida zake haswa pesa na ukimpa ndio mshakuwa maadui ukimdai... so ili nisigombane na watu nimekuwa nauchuna kwa watu kama hao wanaokutafuta kwenye shida zao tu.