Nimsaidie au Nimwache..

Nimsaidie au Nimwache..

Entreprenegro

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
601
Reaction score
132
Kuna rafiki yangu nimwite X ana mpenz wake nimwite Y, niliwaacha chuoni miaka 2 imepita, nilikuwa nafahamiana nao wote, sasa juzi akinitumia friend request kwa facebook, nikamkubalia, bas chart za hapa na pale mpaka ikafika tukawa wapenz, jamaa yake kaja kugundua na mawasiliano naye akaanza kunitukana kupitia simu mm sikumjibu, baadae akaja kugundua sio kweli akaomba msamaha yakaisha
sasa nikawa namsaidia mambo yake ya shule lakn kila nikamwambia X kuhusu mapenz yetu anasema yuko dilema, sijamgegeda bado, namsaidia mambo yake ya shule lakini nimemsaidia karibia nusu bado kidogo, sasa nafikiri kumwacha afanye yake au nimalizie tu kumsaidia, ushauri wenu wakuu
 
msaidie mwenzako utapata thawabu kwa mungu.
 
hii tamthilia mpaka inaisha, sijaielewa!!
 
Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu..kumbuka "utalipwa sawasawa na matendo yako"..
 
Hii habari yako nimeielewa lakini naona unazunguka zunguka tu mara mapenzi, mara masomo.

Acha kuharibu mahusiano ya mwenzako na tafuta wako.
 
msaidie mwenzako utapata thawabu kwa mungu.

Nimemsaidia sana lakini naona kama hasaidiki vile, yan nimejitoa sana lakn yeye anavyochukulia kama wajibu wangu kumsaidia wakati najitolea tu.
 
Hii habari yako nimeielewa lakini naona unazunguka zunguka tu mara mapenzi, mara masomo.

Acha kuharibu mahusiano ya mwenzako na tafuta wako.

Nimekupata watu8, ni hivi sijaharibu uhusiano wa mtu, kilichotokea ni kwamba kumsaidia masuala yake ya shule ikaonekana kama na date nae kitu ambacho sio kweli..

Hata mimi pia nina mpenz wangu
 
hasaidiki kivipi? au unataka na wewe akulipe fadhila?
Nimemsaidia sana lakini naona kama hasaidiki vile, yan nimejitoa sana lakn yeye anavyochukulia kama wajibu wangu kumsaidia wakati najitolea tu.
 
Kumbe me kilaza kiasi hiki jamani manake sijaelewa chochote.
 
hahahaa mkuu Excel sio tamthiliya ni ukweli, labda mpangilio wa tukio lenyewe haujakaa pouwa

ah! mi nimeangalia weee, hata sioni kama jambazi anakufa!!

sasa sijui steringi alishindwa nini hapa!

btw, movie inatoka lini?
 
Kama nshawahi kuona hii kwa tv wale wafilipino wanachezaga sana hizi akina mara clara daniela ila wewe usitujaribu kama lengo ni kumsaidia ebu na umsaidie kwa moyo kama unaona uache acha ila jua kama kweli ahitaji msaada wako na uwezo unao na ukamwacha Mungu ata mimi binadam sipendi
 
hasaidiki kivipi? au unataka na wewe akulipe fadhila?

Hapana DEMBA, ni hivi wakati namsaidia ilikuwa ni kwa upendo tu, lakn baadae nikadhaniwa na uhusiano nae wa mapenz, na jamaa yake akanitukana, juz wamekuja tena home nimewakaribisha wakamkuta galfrnd wangu jamaa akaanza kuelezea yote, na sasa galfrnd wangu amekasirika hataki kusikia kitu chochote toka kwangu.. Lakn yote kwa sababu ya wema wangu kumsaidia issue zake za shule
 
ah! mi nimeangalia weee, hata sioni kama jambazi anakufa!!

sasa sijui steringi alishindwa nini hapa!

btw, movie inatoka lini?

hahahahahahaha haya bhana

Jf is stress free zone..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom