Donpela
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 2,040
- 592
Habari wadau,
natumai wote wazima wa afya na mmerejea katika mambo yenu ya awali baada ya kusherekea vyema sikukuu za mwisho wa mwaka na kuanza mwaka mpya..
Binafsi nimeamua kuanza mwaka kwa kujizawadia zawadi ya kujipa likizo ya miezi 12 bila kunywa kileo cha aina yoyote
>najua itakua vigumu kutokana na marafiki na maisha niliyozoea awali ila wakati nasherekea mwaka mpya nilikua katika maombi na T.B JOSHUA kupitia luninga, na akasema kwamba mwaka "2014 is a bridge year, you will either fall or reach your destiny"
> nataka kujipa likizo niweze kuishi maisha bila kileo au kunywa yanaendaje ili nipime na mipango yangu
>>Napenda kuwaomba radhi sana TBL na SBL kwa hasara ntakayo isababishia..
>>naomba sana kutiwa moyo na nyie ndugu zangu humu jamvini...
>>KAMA KUNA MTU ANA MCHANGO WOWote ntashukuru sana na kama umekwazika //well chota dhambi tu..sio wakuku hukumu mie
...>>>>UPDATES<<<<<
HABARI WANA JAMVI...
Nachapa huu ujumbe kwa masikitiko kutokana jana baada ya vishawishi vya kadri siku 24 bila kusuuza koo....yalinishinda na kujikuta nikibwia fundo za castle baridi tatu chap...
MORAL OF THE STORY ; WE HAVE TO FAIL INORDER TO PASS