kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,245
Habari yako,
Personally awali ya yote nawatakia heri ya mwaka mpya wana MMU wote. 2013 ulikuwa mwaka mzuri sana kwa sisi wana MMU, tulielimika, burudika na mambo mengi mazuri mengi. Kitu pekee kilichobaki kwetu ni furaha, upendo kati yetu. Sisi ni familia moja tuliyo na furaha, tumaini langu hali iliyopo itaendelea hivi hivi mwaka huu wa 2014.
Happy new year everyone.
Baada ya hapo juu tuendelee na mada yangu ya leo kwa vijana,
1. MARA KWA MARA ANAKUOMBA MSAADA: Unajua, pindi mwanamke akiwa anakuomba msaada wa mara kwa mara, anakuwa anachukuwa advantage. Kama mwanamke anakuomba msaada hasa wa mahitaji, fedha nk. Weka kwenye akili yako kwamba huyo ayupo kwa mema, usiwe mjinga kaka. Wengine wanaomba msaada even mtoto wa bill Gates aombi kama hivyo.
2. AJIBU TEXT MESSAGES ZAKO AU MISSED CALLS: Pindi ukiwa umempigia akakuta missed calls zako kisha akawa ajakutafuta hapo stuka. Au akijibu sms zako anajibu just ‘k' ‘Lol' ‘yes" pia inakuwa inachukuwa muda mrefu kujibu stuka kijana huyo akupendi.
3. SIKU ZOTE ANATOKA NA WEWE AKIWA NA MARAFIKI ZAKE. Hii ni clear sign anakujulisha kwamba hataki muwe wenyewe kimaongezi. Yupo pale kuwa please marafiki zake kuwafanya marafiki zake kuenjoy offer zako. Angalia sehemu nyingine hapo hamna kitu au ukiwa mjanja fanyiza faster kwa moja wa rafiki yake. Wanawake wengine noma, muda mwingine wanawaleta marafiki zake wa kiume to piss you off, huku ukiendelea kulipa bills.
4. APIGI PICHA NA WEWE: Kama wewe ni kijana ambaye siku zote unampiga picha mpenzi wako ila yeye akiamua kupiga picha anapiga chakula, vinyaji na zawadi unazompatia badala ya kukupia wewe, kijana jiandae kuchapa lapa. Kama autajali hilo jaribu kuchungulia kwenye social media na simu yake kama kuna picha yako, ukiikosa fikiri twice. Watu wengine wanasema aijalishi ila niamini mimi kwamtoro, msichana yeyote anayekupenda will share beautiful moments na wewe.
5. ANA KUTAMBULISHA KWA RAFIKI ZAKE WEWE NI RAFIKI: Nilikuwa najiuliza kwa nini vijana wanachukia wakitambulishwa kama rafiki, na jibu langu lilikuwa why not? Wasichana wanajua kwamba hili swala linawaumiza vijana more than shot, hasa kipindi akiwa amezimika kwa msichana mpenzi wa maisha yake. Hii inakuonyesha clear kabisa ayupo kwenye mahusiano na wewe.
Garage party kwa ajili yako kijana, itaendelea kila inapo bidi.
Asante!!