Mapenzi bila ndoto ni wizi mtupu

Mapenzi bila ndoto ni wizi mtupu

verified user

Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
35
Reaction score
2
​
MAPENZI ni maisha ya kawaida ambayo wawili wanaotamkiana kupendana wanaishi. Kutamkiana kwa sababu si kila kitokacho kinywani kinaweza kuwa na maana ileile ya moyoni. Dhana nzima ya mapenzi haina urafiki na maigizo. Waigizaji hufeli katika kipengele cha uhusiano.

Usipoteze muda wako na mtu ambaye moyo wako unamkataa. Kama kweli unampenda basi acha mawenge, mpe kila anachostahili, maana huyo ndiye wako wa maisha. Mara nyingi mpenzi bora haji kama zawadi kwamba utamkuta na sifa zote unazozihitaji.

kupata maelezo zaidi
Bongo Voice: MAPENZI BILA NDOTO NI WIZI MTUPU
 
Hivi malengo na ndoto ni maneno yenye maana sawa...

Wenye uelewa wa kiswahili naomba wanisaidie kwa utata huo kabla sijachangia hii sredi...
 
Na mapenzi na ndoto ni ujambazi,uporaji na unyang'anyi mtupu..
 
wadau mmemshambulia hadi kakimbia.
 
^^
Ha ha haaa halafu jini linaogopa kugongwa na gari, hapo hapo unavuka upesiii ndo unapendwa na jini linakupa hela
^^

H,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaa!!!!!!!!!
Jini linaogopa gari wakati linaweza hata kupaa angani ...!!!!!!
 
H,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaa!!!!!!!!!
Jini linaogopa gari wakati linaweza hata kupaa angani ...!!!!!!

^^
Hujaona bongo movie wewe! Jini linakimbiza mtu, yule mtu akikatiza kwenye magari, linaogopa kugongwa!
Halafu utaambiwa WATCH OUT part 2
teh teh
Kupendwa na jini la kibongo raha, mkikosana tu wahi foleni za magari
^^
 
^^
Hujaona bongo movie wewe! Jini linakimbiza mtu, yule mtu akikatiza kwenye magari, linaogopa kugongwa!
Halafu utaambiwa WATCH OUT part 2
teh teh
Kupendwa na jini la kibongo raha, mkikosana tu wahi foleni za magari
^^

Mkuu umenivunja mbavu !!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom