wadada tembeleeni hapa ili kutoa msaada

wadada tembeleeni hapa ili kutoa msaada

Sinewy

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
368
Reaction score
173
tangu nimekuja dar miaka mi2 sasa sijapata mwanamke wa ku date nae nimekalia kupiga msuli tu wajameni hembu mni pm kwa aliye siriaz
 
Kama ndio hapa mwisho wako wa kujieleza hupati hata house girl.
 
tangu nimekuja dar miaka mi2 sasa sijapata mwanamke wa ku date nae nimekalia kupiga msuli tu wajameni hembu mni pm kwa aliye siriaz

hahaha wewe wala usiwe na presha hapa jf mmu ndio utapata sampuli zote kasoro wakuoa tuu!! wapo watakao kuchuna, wapi watoa tigo, wapo wakuwagegeda tuu na wapo wakuchat tuu. kazi ni kwako
 
tangu nimekuja dar miaka mi2 sasa sijapata mwanamke wa ku date nae nimekalia kupiga msuli tu wajameni hembu mni pm kwa aliye siriaz

42873288.jpg
 
Back
Top Bottom