Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

ipe neno
0 Reactions
76 Replies
12K Views
Habari zenu wana MMu wote, naipenda ndoa yangu ila nimechoshwa na shutuma inazopewa ambazo si za kweli na hapa ninekuja kutua mzigo uliopo moyoni maana nahisi naelekea kufanya kweli ambayo ni...
6 Reactions
136 Replies
11K Views
Mlima Kilimanjaro ukionekana kupitia Machame. Mwanzoni mwa mwezi wa Kwanza nilipata fursa ya kutembelea Wilaya za Mkoa wa Kilimanjaro. Na kwa leo nitazungumzia Wilaya ya Hai ambako jamii ya...
16 Reactions
57 Replies
10K Views
Ni takribani wiki moja sasa tangu taarifa hizi za usaliti zinifikie. Na hii ilikuwa ni kwa njia ya sms kutoka kwa mwanaume husika nikiwa hapo nyumbani kwa rafiki yangu wa kike dakika chache baada...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Sura unayoiona hapo juu ni sura ya mwanamke. Bila shaka umewahi kukutana na sura kama hiyo maishani mwako. Hata kama siyo inayofanana hivyo kwa kila kitu, bali ni sura ambayo unaweza kusema...
7 Reactions
66 Replies
12K Views
Kwa utamaduni niliozoea mimi uwa tunavaa nguo yoyote ata kanisani sas sijui sehemu nyingine ni vip? Urafiki ulianza kama utani hatimaye umepelekea uchumba,watu waliniita domo zege kutojibu zaidi...
4 Reactions
245 Replies
16K Views
TABIA SUGU ZA WANAUME WENGI WA AFRICA 1. UKALI, 2. ULEVI, 3. KUCHELEWA KURUDI HOME, 4. KUPENDA MARAFIKI KULIKO FAMILIA. 5. UMALAYA, 6. KUGANDA SIMU ZAO. 7. KUFICHA MAMBO YAO YA...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wazima wote, Lets share true story. Kwa jina naitwa suprise, mama wa mtoto mmoja na mke ndani ya ndoa yenye miaka 2. Hivi karibuni, kiherehere cha kusoma sms za mume wangu zimenifanya nigundue...
0 Reactions
222 Replies
17K Views
Mi ni mtu wa kanda ya ziwa natafuta toto la ki tanga umri kati ya miaka wowote wa kjana
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisikia matukio mengi ya wanaume kuwapiga wake zao tena wakati mwingine vipigo vibaya sana pale wanawake wanapowafumania waume zao. Yaani mwanamke anamfumania mwanaume halafu kibao...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Napenda kushukuru jf sanasana Asha D , Fixed point , maxence melo, kaunga , riwa , mwa j ,kipipi , blacki woman , mtambuzi , erickb52 na niliowasahau mmefanya nione kuwa na vvu si mwisho wa maisha...
12 Reactions
30 Replies
3K Views
habar za mida wanajamvi =katika pitapita zangu za hapa na pale kwenye jamii inayonizunguka pia kwenye mitandao kibao tu. huwa nasikia kuwa sehemu ya mwanamke ambayo kwa asilimia nyingi ina hisia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nahitaji mke mwenye upendo wa dhat...chin miaka 28..cm 0782050530 au 0759961060
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mm ninamchumba wangu katembea na rafiki yang nifanyeje? Moyoni kanitoka kabisa tatizo keshanitambulisha kwao na kunivisha pete ya uchumba mbele ya kanisa na mahari ni tarehe 27 nifanyeje binafsi...
1 Reactions
58 Replies
5K Views
Habari wana MMU! Pamoja na kwamba ni member jf na msomaji wa maoni yanayotolewa hapa MMU lakini sikuwahi kupost chochote hapa MMU,lakini leo nimekuja kwenu kuomba ushauri. Mimi ni kijana niliye...
0 Reactions
66 Replies
6K Views
Naomba kuuliza hawa watu ni akina nani mjini hapa..?? Huwa nasikia tu kaka wa mjini au dada wa mjini mara oooh Diamond kawala madada wa mjini mara ooh Kelvin Twissa kawazalisha madada wa mjini...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
baada ya kupimwa na kupewa majibu nimegundulika nina VVU mwilini mwangu............. mwanzoni ilinipa tabu kidogo ila nilijikaza kiume kuukubali ukweli..huwa ni mtu nisiyependa kuregret in life...
24 Reactions
67 Replies
6K Views
Wana MMU habar za muda huu! Jambo hili naweka hapa limenitokea muda huu tu,nikasema niliweke hapa ili kusaidia wengine watakaokumbwa na tatizo kama hilo,lakini pia kusaidai katika ufafanuzi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Tips za kumuelewa that Special Single lady you have fallen for…:A S-heart-2: Habari wana JF/GT... Naamini all is well na going on in the same pace... Uelewa wangu ni kwamba hata tufanye...
34 Reactions
325 Replies
22K Views
Mimi ni Mvulana mwenye miaka 28, Naishi dar! Natafuta msichana aliye serious tuweze kuwa katika mahusiano ya kimapenzi nihitaji kuanza kujenga Familia naye! nimekaa mpweke kwa muda wa zaidi miez 9...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom