Nilikua naangalia kipindi cha minbuz star tv,kulikua na mjadala kua wanawake mbeya wanapga wanaume,na vijana waliochangia hlo wakakubali kua ni kweli wanapgwa,hii imekaaje,kama ni kweli basi...
Wajameni hodi mi mgeni japo wengi nawajua kwa username zenu nimekuwa nikipitia kusoma topic mbalimbali nimenogewa na ngoma nimeona na Mimi niingie nicheze
Kwanini uhangaike na vimada na machangu ambao daily hupitiwa na kila aina ya mitulinga mpaka ladha inapotea na usafi Mmh..!nyingine zinanuka
Ya mkeo iko hm muda wote ready for u only, na...
Kuna msichana nampenda sana na nimekua nae takriban miaka 2 sasa wakati naanza nae mahusiano alikua amemaliza kidato cha 4 lakini alinikubalia kwa sharti Moja kwamba hatoshiriki tendo LA ndoa na...
wana jamvi msaada wenu tafadhal, niliwah kuwa na uhusiano na mpenzi Wangu wa kwanza alikuwa ni msafi Sana pia mkarimu. kasoro yake alikuwa ni muhuni sana! kwa ushahidi nilimfumania gesti...
::Habari ya wakati huu waungwana,
Mimi si mpenzi sana wa kuweka thread hapa MMU, lakini acha leo niwashirikishe mtazamo wangu japo kwa uchache kuhusu mahusiano kama nilivyopata kuahidi siku za...
Umekazana kuwaambia marafiki zako 'Siku hizi hakuna Mapenzi ya dhati watu wote Majanga tu',nani amekwambia hayapo??Yapo sana ila wewe unatumia mbinu tofauti..Huwezi-kusoma Degree ya Law halafu...
Ninavyojua Biblia inasema kijana atawaacha wazazi wake na ataambatana na mkewe nao watakua mwili mmoja,je ni wapi Biblia inasema lazma ukafunge ndoa kanisani?je km mm nimependana na...
nimetokea kumpenda msichana mmoja nasoma nae mwaka mmoja but kila nikimueleza bout hili anapenda tuwe marafiki tu jaman naomba ushauri kuhusu hili for real nampenda sana.
PIGO-Jaman npo kwenye wakat mgumu nmeachwa na mademu zangu wote wa nne ndan ya wiki 1. sijajua wameambia au mkosi tu.
wa-1 anaish mbeya lakn na mm dsm juz kantumia sms kuwa na mm bac.
wa 2...
Naitwa Sam from dar es salaam,24 miaka yang,mm ni mweupe,mrefu wa wastan halafu modal.Natafuta msichana/mpenz mweny sifa hizi.1, umri miaka 19 mpaka 23. 2,Asiwe mnene wala mwembamba size ya kat na...
Naitwa Sam from Dar, nina miaka 24,mrefu wa wastan,mweupe halafu modal.Natafuta mpenz umri kuanzia miaka 20 mpaka 23,Awe rangi yeyote ile mweupe,mweusi au hata mzungu kama yupo,asiwe mnene wala...
Nina namani siku moja moyo wangu upate kutulia, nimpate wa kunienzi maishani mwangu mimi na yeye tule kiapo, anirejeshee furaha iliyopotea kwa miaka mingi, authamani utu wangu penzi lake kwangu...
Wakati mwingine mtu unaona haya magubegube ya hapa town sio wife material, unakimbilia kijijini kujichagulia kigori wa kuishi nacho maisha yako yote lakini kinavyobadilika unahisi kama ulilaaniwa...
Heruaa heruaa herua
Jamani kumekua na thread nyingi za kutafuta waume,wake,wapenzi
Na kadhalika
Ingekua poa sana kama mkitujulisha hao watu mnaowatafuta kama mmewapataa heeeeeeeee...
Msichana wa kizungu akikutana na mvulana mtandaoni
Guy: may I know a bit about you?
Girl: Oh certainly, I am Samantha, I'm 26, I work as a system analyst with Dell, I am single with one adorable...
Wanaume wengi ambao wako serious(wasiochekacheka) hukubaliwa kirahisi na wanawake pale wanapowatokea kwa mara ya kwanza.
Wanaume wa aina hii wanakuwa hawana mazoeano na watu wengi, pia ni watu...
SEASON 1
Episode 01
Tekinolojia itakuwa imekuwa sana nchini Tanzania na kuanza kuzitishia nchi kubwa duniani, kiuchumi, kitekinolojia, kiulinzi na usalama. Biashara mbalimbali haramu na magendo...
Mpenz wang niliekua nategemea kufunga ndoa nae amezua kizazaa baada ya kujifungua mtoto ambae ameniacha njiapanda. Naishi dar yeye iringa nilienda kwake july 2013 tukagegedana mara nying...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.