Msaada wa mawazo, rafiki yangu wa kike amenisaliti.

Lubama

Member
Joined
Feb 1, 2010
Posts
60
Reaction score
15
Ni takribani wiki moja sasa tangu taarifa hizi za usaliti zinifikie. Na hii ilikuwa ni kwa njia ya sms kutoka kwa mwanaume husika nikiwa hapo nyumbani kwa rafiki yangu wa kike dakika chache baada ya kusafiri masaa kadhaa kwenda kumsalimia, tena nikiwa pamoja na mwenzangu.
Tangu siku hiyo imekuwa ni kilio cha nguvu akijutia kosa lake na kwa kuzingatia kuwa nilishawahi kumuonya kuhusu ukaribu aliouendekeza mtu huyo na hakutaka kunisikia, imani yangu kwake imepotea na sidhani kama nitaweza kuelewa na kuvumilia kitendo kile. Ni kwa namna hiyo nikamwambia basi a mwisho wa uhusiano wetu umekwishafika lakini najikuta namuhurumia na nasita kusimamia uamuzi wangu kwa sasa.
je itakuwa ni busara kuendelea kuwa nae karibu kwa minajili ya kumuepusha na kujidhuru ama ndio nazidi kujitengenezea mazingira ya kumsamehe kwa kumuonea huruma..??
 
Hivi lile tangazo huwa wanatoa ujumbe.......nimesahau, OK.Nimekumbuka, TUKO WANGAPI?
 
Tafuta na wewe mnyonge wako umgongee, punguzeni kuja kulialia hapa.
 
Sema ivi Bado nampenda sio namuonea huruma,na usifanye mamuzi ukiwa umekasirika sana wala ukiwa umefurahi sana,
wewe huyo mtu bado unampenda kumucha hutaki sasa unajenga hoja kua unamuonea huruma,kwani ukimwambia basi utakua umepoteza nini au utakua umemdhuru wakati mkosa yeye? kama unataka kumsamehe na mle mgawe basi endelea
kwa raha zako,laa unataka kua peke yako jipange hapo sipo....
 
mhhh, mtihani huo, bwana weee, mahusiano ni kitu complex sn especially mahusiano ya kimapenzi, kaeni mzungumze, kwani we hujawahi kupiga dem mwingine hata cku moja?
 
endelea kumfariji tu hatajinyonga wakati ww upo bwana na mchizi ataendelea kukugongea kimtindo hurumayako ni nzuri sana lkn ushauli funga naye ndoa kabisa hz GF na BF waachie wanafunzi
 
Nipe namba yake huyo mwanamke nikusaidie mimi kui solve hiyo ishu
 
Msamehe kwa kosa la kutokuwa mwaminifu ila usirudiane naye ukimrudia utakuja juta yaani jamaa jingine linainama juu yake linaacha minaniii yake na wewe humohumo lol,labda kama wewe nawe ni kicheche endeleeni maana mnafanana........ogopa mwanamke asiye heshimu mahusiano kabla ya kuoana ukimuoa mara nyingi wanaendelea na hako kamchezo na watu wake kazi kwako.
 
wanawake walio wangi wana wapenzi wengi,
pia wanaume walio wengi wanawapenzi wengi,
utampata wapi mwanamke mzuri ambaye hana wapenzi wengi?
 
msaada wa mawazo=ushauri ungeweza kufupisha maneno kwa style hiyo anyway kitu cha msingi lazima ujiulize kwa nini alikusaliti maana kuna kitu alikuwa hakipati kutoka kwako kusaliti sio tendo la ghfla tu ambalo linatoka from no where ukisahjua tatizo solve ndio umsamehe unless otherwise kila siku utakuja kulia lia hapa
 
Ni takribani wiki moja sasa tangu taarifa hizi za usaliti zinifikie. Na hii ilikuwa ni kwa njia ya sms kutoka kwa mwanaume husika nikiwa hapo nyumbani kwa rafiki yangu wa kike dakika chache baada ya kusafiri masaa kadhaa kwenda kumsalimia, tena nikiwa pamoja na mwenzangu.
Tangu siku hiyo imekuwa ni kilio cha nguvu akijutia kosa lake na kwa kuzingatia kuwa nilishawahi kumuonya kuhusu ukaribu aliouendekeza mtu huyo na hakutaka kunisikia, imani yangu kwake imepotea na sidhani kama nitaweza kuelewa na kuvumilia kitendo kile. Ni kwa namna hiyo nikamwambia basi a mwisho wa uhusiano wetu umekwishafika lakini najikuta namuhurumia na nasita kusimamia uamuzi wangu kwa sasa.
je itakuwa ni busara kuendelea kuwa nae karibu kwa minajili ya kumuepusha na kujidhuru ama ndio nazidi kujitengenezea mazingira ya kumsamehe kwa kumuonea huruma..??

Mtu akimpenda mke wako usigombane nao, mwachie amuoe, na mwanamke akisha cheat mara moja usisahau lazima atarudia kwa umakini zaidi
 
kwaio kwasasa bado unampenda au unamuonea huruma?
 
Back
Top Bottom