waliokatwa je??

waliokatwa je??

2 pacha

Senior Member
Joined
Dec 15, 2013
Posts
136
Reaction score
44
habar za mida wanajamvi

=katika pitapita zangu za hapa na pale kwenye jamii inayonizunguka pia kwenye mitandao kibao tu. huwa nasikia kuwa sehemu ya mwanamke ambayo kwa asilimia nyingi ina hisia kali hasa katika yale majambozi ya kikubwa ni kic....me''
=sasa nilikuwa nataka kufahamu je vipi kwa hawa ndugu zetu ambao hivi vitu huwa vinatolewa na wenyewe wanapata hisia kama wengine? au inakuajekuaje?
 
Mkuu swali lako ni gumu. Ushauri wangu mtafute aliyekatwa umuulize ikiwezekana mfanye kabisa afu ukishapata jibu tunaomba mrejesho.
 
Female genital Mutilation is strictly prohibited

Ngoja waje wakili kwa sababu kuna hisia za kisimi na za kutoka kwenye ubongo We don't know which is which affecting sexual pleasure mostly
 
Back
Top Bottom