AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,080
Tips za kumuelewa that Special Single lady you have fallen for…:A S-heart-2:
Habari wana JF/GT... Naamini all is well na going on in the same pace...
Uelewa wangu ni kwamba hata tufanye vipi au tuchukue masomo hadi PHD kusoma ama kuelewa your opposite sex, ni vigumu saana kwa wanawake kuelewa akili na mawazo ya kaka zetu zaidi ya njia ya presumption tu… na vivyo hivyo kwa wanaume dhidi ya wanawake.. Kwa Yule in need na kutapatapa kuweza kuelewana nimetoa tips kwa kina kaka ni jinsi gani ya kuwaelewa hao single ladies; ambazo nafahamu tokana na observation za rafiki, ndugu na jamaa ambao ni wadada… hii yaweza walau kukusaidia kumuelewa kidogo dada ulomwangukia…
14 – 18 years..
Hapa maelezo sio marefu kwa ufupi, hii age nawaomba kaka/baba zetu muache kuwavua nguo za ndani hawa watoto… pamoja na kusema isha kua common kweli haipendezi… enways hii sasa topic nyingine…
19 – 25 years
Anajiona kua kawa mtu mzima na hutaka saana awe treated kama mdada..She is half wild, minimally exposed, akiamini kua yeye ni yeye.. hujiachia saana, uvumilivu katika mahusiano sio saana after all wanaomtongoza na kum admire ni wengi saana, anajiona na kuamini kwa dhati ni mzuri hata kama sio (ila hukereka na kiungo kimoja wapo mwilini i.e pua, mdomo, boobs, wowowo, miguu, n.k). Katika love kwake kila kitu ni black and white… Hujiamini pia katika mahusiano na huamini sababu tu analala na the guy – hawezi dhubutu kumuacha yeye (the lady) au kumchanganya na wengine… Na la muhimu huamini huwezi ingia katika mahusiano kama hujapenda… Hii ndo period ambayo wadada tunakua most naïve… Stage hii mwanaume akimuangalia anajua kapendwa…
26 – 32 years
Fully exposed, fully discovered, fully endowed… almost perfect (in attitude as well as physical make up)… In this stage she is HOT! Yuko more calculated, katika mahusiano, mapenzi si lazima but sex muhimu saana.. she is independent (sometimes just pretending to be..).. anajua ni nini anataka, mpaka kafika hapa kaumizwa mara nyingi hivyo yuko makini na ana prefer kuingia mahusiano na a guy anaeonekana yupo serious in a relation na ni husband material.. hata akipenda sana wengi huogopa kuonesha mapenzi ya dhati kwa mpenzi wake.. tokana na past experiences… Stage hii mwanaume akimuangalia anaamini anaangaliwa as a result of lust/tamaa…
33 – 38 years
Bado yupo desirable, yupo more wise, a bit quiet.. bahati mbaya in most cases very depressed hasa kuhusiana na issue ya kupata mume.. she so needs to get married to the extent anaweza angukia pabaya ili mradi tu apate huyo mume.. katika stage hii mahusiano hayaangalii mapenzi wala sex.. it is more about the image kua lazima nae aolewe (image ambayo inakua forced tokana na jamii ilomzunguka) in this age hutambua kua rafiki zake woote wameolewa na wamesha pata first, second or third borne.. Hili group hupenda serious relationships with serious men wa kuwaoa but bahati mbaya saana wanaofaa kumuoa most wanafamilia ama stable girlfriends/fiancee… hio hupelekea wengi kukata tamaa na kuzaa tu na jamaa ambae kwake anaona ana qualify.. hapa usishangae hata ambae hakujui kwa bibi/babu anashawishika kwenda hasa anapopata mume wa mtu ambae very potential husband material… Stage hii mwanaume akimuangalia anahisi kafananishwa…
39 years and onwards…
Every man walomzunguka may know she is single but very few want to approach her.. huyu yupo kwa ajili ya maisha yake binafsi, she has given up kupata life partner! Kwa wale wanaopenda /endekeza sex – one night stands ni kwa saaana… Stage hii mwanaume akionesha interest anaelewa deep down in her kua ni pa kupumulia (for the guy… And this stage ni maarufu saaana kwa Serengeti Boys….
Note:
The above mtazamo ni wangu sio Universal na nime observe majority ndo naona na kuamini wako/tuko hivyo… zingatia imelenga kwa wadada ambao hawajawahi olewa kabisa…
Kina dada/mama nitaomba mchango wenu kama mnakubali au lah! Na kuongezea mtazamo wako/wenu… Kina kaka/baba naomba mchango wenu hasa kwa kuzingatia personal/friends experience wakati wa kututokea akina dada/mama wa rika tofauti…
NB: Off topic
Jamani I missed jamvini na wanafamilia wa MMU wooooote! Yaani almost niwe admitted hopitalini... (kidding..lol) Serious note: I really had missed you all in ways I thot not possible… Cku njema dears and want you to know Ashadii loves you all…
Ashadii (Fellow JF members.. Please notice the name change….)
Pamoja saana.