Saikolojia ya wanaume

Saikolojia ya wanaume

Tiger

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2007
Posts
1,747
Reaction score
387
Nimekuwa nikisikia matukio mengi ya wanaume kuwapiga wake zao tena wakati mwingine vipigo vibaya sana pale wanawake wanapowafumania waume zao.
Yaani mwanamke anamfumania mwanaume halafu kibao kinamgeukia mwanamke.
Hii hali inakuwaje?
Naomba kufahamu, hii kitu imekaaje?
 
Hadi mwanaume anaamua kutembea nje basi wewe kama mke ujue keshakuchoka. Ukifumania unapigwa kwa vile mwanaume anajaribu kutetea mahusiano yake na kimada wewe unakuwa huna kazi tena kwake.
 
hamna kitu kama hikii. inawezekana hii ni tabia ya wanaume katika ukoo wenu
 
kama hujawahi kuona wee kaa kimya tu. matukio haya yapo sana. sema wanawake wengi hawapendi kusimulia kutokana na mafunzo wanayopewa ya kuwa wavumilivu. mimi nimeona kabisa mwanamke alimfumania mumewe na bado akachapwa makofi kwa madai kwamba kwani anakosa nini hadi awe anamfuatia mumewe.

nimekwambia usigeneralize tabia za ukoo au kabila lako udai ni tabia za wanaume. Huo ndiyo ukweli, kama kwenu wanawake wanapigwe elimisha wanaume wa kwenu waacha ujinga huo. acha ku-generalise tabia za kwenu udhani ni za wote. period!!!
 
Nimekuwa nikisikia matukio mengi ya wanaume kuwapiga wake zao tena wakati mwingine vipigo vibaya sana pale wanawake wanapowafumania waume zao.
Yaani mwanamke anamfumania mwanaume halafu kibao kinamgeukia mwanamke.
Hii hali inakuwaje?
Naomba kufahamu, hii kitu imekaaje?

Mwanamke ni mali ya mumewe , amemlipia mahari na bado anaendelea kumtunza kwa gharam kimsingi mwanaume anaruhusiwa kuoa wake zaidi ya mmoja lakini kamwe kwa mwanamke kuwatumikia mabwana wawili
 
He he he he, wanamme wanavyolalamika kugongewa, ndio wajue wanawake siku hizi wanatumikia mabwana hata 7 kama siku za wiki.

Mwanamke ni mali ya mumewe , amemlipia mahari na bado anaendelea kumtunza kwa gharam kimsingi mwanaume anaruhusiwa kuoa wake zaidi ya mmoja lakini kamwe kwa mwanamke kuwatumikia mabwana wawili
 
Hamna kitu kama hiki

Mkuu, sijaleta huu uzi hapa kutaka kujua kama haya matukio yapo(nafahamu kuwa yapo).
Nilichotaka kujua ni kwanini, badala ya ku-feel quilt, wao(wanaume) wanaweza kuwa na nguvu ya kuwapiga wake zao, tena kuna wanaopigwa mpaka wanapelekwa hospitali kwa kosa la kufumania waume wao.
 
Hadi mwanaume anaamua kutembea nje basi wewe kama mke ujue keshakuchoka. Ukifumania unapigwa kwa vile mwanaume anajaribu kutetea mahusiano yake na kimada wewe unakuwa huna kazi tena kwake.

Mwanaume hata umpe nini,atatoka nje tuu
 
Mwanamke ni mali ya mumewe , amemlipia mahari na bado anaendelea kumtunza kwa gharam kimsingi mwanaume anaruhusiwa kuoa wake zaidi ya mmoja lakini kamwe kwa mwanamke kuwatumikia mabwana wawili

Jibu la --------..Tumia hekima.
 
Ha ha ha ha ha, in my crazy mood,yes. Hamna adui mdogo, hata kama kichanga kama hujwahi 'kukifua' piga kabisa, kinaweza kutoa nishai ukaaibika bure.

Kwa mood yangu ya kawaida, ni wehu kukosea mtu afu ukajihami kwa kipigo, ni weakness ya akilini.

So unaiunga mkono hyo counter attack?
 
Back
Top Bottom