Madada wa mjini na Makaka wa mjini ni akina nani hasa?

Madada wa mjini na Makaka wa mjini ni akina nani hasa?

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,080
Reaction score
3,771
Naomba kuuliza hawa watu ni akina nani mjini hapa..??
Huwa nasikia tu kaka wa mjini au dada wa mjini mara oooh Diamond kawala madada wa mjini mara ooh Kelvin Twissa kawazalisha madada wa mjini kibao..??

Hivi madada wa mjini ni akina nani?
Kuna qualification zozote ni lazima uwe dada wa mjini ni lazima umiliki aina fulani ya usafiri?
Ni lazima ufanye kazi sehemu fulani??
Dada mrembo mwenye miaka 25 aliyezaliwa hapa Dar Es Salaam ambaye kazi yake ni uchuuzi wa samaki Ferri hawezi kuitwa dada wa mjini..??

Ni lazima umiliki biashara yeyote iliyoko maeneo ya mikocheni, sinza, kinondoni, masaki, posta au ilala..?

Dada wa mjini ni nani hasa??
Ni lazima ujuane na ma celeb wa Bongo??
Dada wa mjini ni nani?

Mimi sielewi

Au ni lazima umiliki LV, Gucci na Kenzo??
Ni kina nani hawa akina dada wa mjini??

Mwajuma mwajumale hawezi kuwa dada wa mjini??
Ni lazima awe barbie, sijui shannel n.k

Kwenda kunywa nyani ngabu bar huwezi kuwa dada wa mjini?

Ni lazima uende ambassador, savanna, samaki samaki n.k??

Je makaka wa mjini je ni akina nani?

Lazima uwe unafanya kazi bank, au mitandao ya simu..??

Kufanya kazi ultimate security huwezi kuwa kaka wa mjini??

Lazima uwe umashafika angalau Dubai??
(Kibiashara)??

Sie biashara zetu za kwenda mikoani kuchukua mahindi hatuwezi kuitwa makaka wa mjini??

Lazima angalau niwe nimemkojolea msichana mmoja maarufu bongo.??
Kama kila siku nacheza na akina Halima mtoto wa mama saidi wa kule wanging'ombe siwezi kuitwa mtoto wa mjini..??
Au makaka wa mjini..?

Lazima nimiliki mark x, harrier, prado, bmw au range

Kama namiliki carina my road siwezi kuwa mkaka wa mjini?

Lazima nilipoajiriwa niwe Senior Officer..??

Nikiwa Assistant Sales person imekula kwangu...??

Mkaka wa mjini ni aina gani??
Mie sielewi...

Mie C.T.U siwezi kuwa kaka wa mjini?
Sina qualifications?
Au tatizo ni nini..?

Tajeni madada na makaka wa mjini na sifa zao then tuone na sie tunaweza kuwa makaka na madada wa mjini..?
 
ha ha ha hiyo ndo bongo muovu na mjinga mjinga ndo mjanja wa mjini jamii yetu inatafsiri hivyo kaka wa mjini lazima ujue ku make money..................ikibidi ucheze madili haramu sana .full kuji show nini.....uwamege sana kam TWISA,LYUMBA,ROBBYMOCKO .,lakini huu upande wa pili(ke) wadada wa mjini sijui lazima uuze sana papuchi(aliyeolewa na kujiheshimu kama Kyln haitwi dada wa mjini thats why i dought) au ubebe sembe? au utembee sana na waume za watu ?au uwe unavaa half naked(mifano mnayo) i dont know ngoja waje watusaidie
 
Robby1 nae kaka wa mjini??
Hivi yule Mrisho wa pale Big Brother Manzese mwenye mabanda yake matatu... Na mawili karume hawezi kuwa kaka wa mjini..??
Au RobbyMocko ana biashara nyingine nisiyoijua..??
 
Robby1 nae kaka wa mjini??
Hivi yule Mrisho wa pale Big Brother Manzese mwenye mabanda yake matatu... Na mawili karume hawezi kuwa kaka wa mjini..??
Au RobbyMocko ana biashara nyingine nisiyoijua..??
hiyo usiyoijua ndo inamfanya awe zee la town
 
Ujumbe uko hapa ukitaka kujua baadhi ya sifa za kaka/dada wa mjini

Last edited by a moderator:
Kuna vitu vingine mpaka uamue ndo unaweza kujua undani wake.!
Kama ni kweli unania ya kujua sifa za dada au kaka wa mjini fanya jambo hili.
Wewe siku ikitokea ukasikia fulani katajwa kama kaka/dada wa mjini basi anza kumfatilia anasifa zipi? ana miliki nini
Fanya hivyo mara kadhaa ili kujilidhisha kama sifa zao zina landana hapo utakuwa umepata kitu dah... sababu maswali unayo jiuliza ni mengi.
 
Back
Top Bottom