Nilikuwa nasikiaga tu fulani katepeliwa ila leo yamenikuta nimetapeliwa kweupe na mtu namfahamu kabisa yani hta aibu haoni kwa jinsi alivyolaaniwa..ntaleta picha yke very soon mumjue..kuweni makini
Wababa wa Kitanzania mnayaweza kweli haya? Wangapi kati yenu mshawahi hata kuzibana nywele za mabinti zenu?
Hii habari nimeitoa Yahoo. Hii picha ilienda viral baada ya jamaa kuiweka kwenye...
Tuacheni maskhara kabisa Jamani, mkiwa kama wanandoa au wapenzi mnaoishi pamoja chupi ya nini kitandani??? Kwani unataka kuninyima nini?
Achia mamboz yawe free to air nikijisikia napanda...
Nilimuheshimu sana shemeji yangu, lakini majuzi sikuamini aliponifuata katika chumba changu saa 7 usiku, tukiwa hotel moja serengeti park tulikokuwa kwa ajili ya mapumziko, ni mke wa rafiki yangu...
Mwana JF Mwenzetu charminglady amepata health complication na amepumzishwa Aga Khan Hospital leo asubuhi.
Tumuombee mwenzetu apate uponyaji wa haraka ili aweze kurudi jukwaani na kuisongesha JF...
Cha kushangaza ni kwamba, wasichana wanaofaulu kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kuwania kuolewa ni lazima wafaulu vipimo vya maambukizi ya HIV. Wale wasichana wanaoonekana wameathirika na Virusi...
Wazee wa JF,Nategemea kwenda kikazi Shinyanga kwa takribani siku 30,wakuu mnaoijua vema shinyanga sehemu gani ambazo kuna viwanja vya kupoozea mihemko ya mwili.Please let me know wadau
Sio Kila EX wako anayeomba Mrudiane anamaanisha! Wengine huomba kurudi ili wakutesti tu jinsi ulivyo Mbulula,jinsi usivyo na msimamo na jinsi ulivyo CHEAP na huna Misimamo wala Future.
Jitu...
Upweke utaniuwa,nahitaj msichana au mdada anayehitaj kuwa na mtu/mpenz wa kupendana nae lakn pia kupeana furaha na raha.Naitwa Sam,umri wang miaka 24,naish dar es salaam,Airport kipawa.kama...
Habari wakuu kichwa cha habari chahusika!!!!!!
Mie nimezaliwa miaka 25 iliyopita kwa sasa nipo chuo kikuu kimoja hapa dar es salaam. Tangu nizaliwe miaka 25 iliyopita mpaka sasa baba yangu simjui...
Naomba Niulize Wakati Tunamuomba Mungu Tunavyo Sali Sala Zetu Hivi Huwa Tunaomba/Tunamwomba Na Yeye Anapanga Au Asipange Mambo Yatokee Mbeleni (Mafanikio Yetu)?
Au
Tunaomba/Tunamwomba Mungu Na...
njia ni rahisi tu mwambie akupeleke kwa wazazi wake au aje kwenu kujitambulisha kabla ya game hasa uende kwao lakini uwe makini maana anaweza akaamua kukuingiza chaka kwa kukusanya marafiki zake...
kama mume mkewe hajabahatika kumzalia mtoto. lakini mume anaye mwanamke nje ya ndoa anamzalia watoto halafu mwanaume huyo anaendelea kumwambia mkewe eti bado anampenda sana, je ni kweli anampenda...
Hata siku moja siwez kuja kuandika humu kuwa natafuta mchumba humu.
Ukizunguka mtaan,kwenye daladala,vyuoni,maofisini na mashuleni kuna wife material wa kutosha.
Nashindwa kuelewa huu udomo...
How we're different and what to do about It
Revealed in this book:
-Why men really can't do more than one thing at atime.
-Why women make such a mess of reverse parallel parking
-Why men...
Yawezekana unapita katika magumu na unaona hakuna njia tena na unakata tamaa. Umefika mahali na unasema siwezi kupata kazi tena, hii kazi siwezi tena, haya mahusiano yamenishinda, hii NDOA...
Wanajamvi habari zenu. Mimi ni mke na mama wa watoto 2 , kunakitu sikielewi kuhusu huyu mume na nishaongea naye mara nyingi tu naona bado kinajirudia sasa naomba ushauri wenu great thinkers maana...