Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa mabinti wote wa mwanza mjini (the rocky city) mi natafuta msichana mwenye hipsi kubwa ili nitoke nae siku ya wapendanao ili anipe kampani pesa ya kutumia ipo tutakula kuku kunywa bila shida...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Wanawake unguja wamekuwa wakiteswa kuita kiasi mpaka kufikia kujidharau wenyewe. wanaodharau sana wanawake unguja ni wanawake.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajamii naombeni ushauri...mpenz wang hanijali tena as hakuna mawasiliano ya cm wala ya ana kwa na tuko mkoa mmoja ...anadai yupo bzy na kazi.tulikuwa na mipango mingi tu ikiwemo kutambulishana...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
MPE USHAURI BW. CHACHA Bw.Chacha ameoa 6yrs ago, mkewe anaitwa Bhoke, baada ya kuoa chacha aliapa kumpenda mkewe na aliapa kutompiga hata kofi. Bhoke alidekezwa kama yai, ilifikia hatua watu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
"Upendo wa kweli huvumilia, hufadhili, hauhusudu, hautakabali, haujivuni, haukosi kuwa na adabu, hautafuti mambo yake, hauoni uchungu, hauhesabu mabaya, haufurahii udhalimu bali hufurahi pamoja na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ex-GF wangu alipoolewa mwaka 2010 desemba nilileta thread hii hapa: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/94798-ex-gf-wangu-kaolewa-jana.html. Watu walininanga na kunisuta sana...
6 Reactions
87 Replies
7K Views
Kama unaona kesho huna wakuvaletika naye mimi sina makuu karibu tuone tunaipeleka vipi valentine PM pls
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu yangu Mzazi/Mlezi, je, mwanao/wanao ratiba yao ya kila siku ikoje kuanzia wanapoamka asubuhi hadi muda wa kulala usiku. Napenda tuongelee watoto kuanzia umri wa Nursery School mpaka...
1 Reactions
64 Replies
6K Views
hv inakuwaje mwanamke unamfata mwanamke mwenzio na kumuuliza eti mumeo anafanya kazi gani?hv labda mtu akikujb unafaidika na nini?
0 Reactions
57 Replies
4K Views
Picha inaongea maneno 1000 jionee mwenyewe mrembo akiwa kazini.
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa wale wote wapendanao ,napenda kuchukua nafac hii kuwatakia valentine njema,uwe pia ni wkt wa kutafakari uelekeo wa mahusiano yenu na c kuishia kula dinner na kufanya ngono!km ww ni mtt wa kike...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Kutokana na maoni ya wanajamvi, nimeamua kuchukua hatua nyingine kabisa. Mimi ni kijana wa miaka 21 natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo 1.Awe mcha Mungu(mkristo) 2.Asiwe Mpenda Pesa Wala...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wataalamu wa masuala ya mapenzi wanaeleza kuwa penye penzi la kweli hakuna usiri.Mtaficha wee mwisho wa siku watu watajua,ila mkiona mmefanikiwa kuwafanya watu wasijue kwamba nyie ni wapenzi basi...
6 Reactions
10 Replies
8K Views
Habari zenu wana MMU. Dada yangu anaolewa weekend hii sasa nimeshindwa kumchagulia zawadi gani nimpatie inayomfaa ktk harusi yake. Naombeni ushauri wenu wana MMU ipi itakuwa bora zaidi kwake...?
0 Reactions
19 Replies
8K Views
Napenda kujua na mnipe majibu mazuri wapendwa wana JF.Nini hasa maana halisi ya hii siku,na ni nini hasa kinatakiwa kufanyika?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi ni haki kwa mwanamke kuzaa na John halafu anaolewa na Joseph then unamwita mtoto Robati Joseph hadi shuleni? na Joseph akikuacha utambadili tena jina la baba?
0 Reactions
108 Replies
9K Views
Habari zenu wana MMU Mm nina nina moja tu yaan kuna wadau wametoa maua wengine zawadi watu wapeane cha kushangaza kama maua watu wamegawana yote yameisha wengine wamepata zaid ya mawili Mm had...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Nina 26year, Nina hitaji mume aliyetayari kunieshimu na kuwa mkweli kwangu! Nichek kwa (annieswai41@gmail.com)
6 Reactions
82 Replies
8K Views
Habari za weekend wapendwa wa JF! Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu,najiona natofautiana kimtazamo na wanawake wengi hapa duniani. 1. Wanawake wengi hawapendi kuadhibiwa na waume zao...
15 Reactions
132 Replies
12K Views
Roho wa Bwana yu juu yangu kwamaana amenitia mafuta kuwa hubiri masikini habali njema, Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao,Navipofu kupata kuona tena,kuwaacha huru walio setwa...
8 Reactions
21 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…