Woman's tear

Woman's tear

This means that a
single drop of a lady's tear is ruining about 100000/= please don't make them cry… 
for a guy, its babycare (500/=) or vaseline (250/=)!

thats less expensive....KUMFURAHISHA YAHITAJI MAMILIONI.....
woman_with_money5.jpg
 
^^
Ndo mnadanganyana eti??
Usiombe mwanamke ajue unahadaika na machozi, utageuzwa mtumwa wa matakwa yake!
^^
 
Wee! wanaume wa siku hizi wanajipodoa hata mwanamke haingii ndani..
 
Sanasana marock stars ndo wanajipamba,sio wanaume wengi wanaojibandika kilo za cosmetics kune nyuso zao
 
Tyta hilo uliloweka linamegwaa, ukishaona mwanaume anapenda kujiangalia sana hata kwenye kioo ujue muda si mrefu atakua chakla
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom