Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,372
- 38,728
Mpendwa msomaji.
Si maneno yangu bali ni huzuni kubwa nasikiliza kipindi kimoja Radio Power
Kila mwanamke anaeomba maombi Mume
Mzinzi
Mlevii
Hatoi matumizi
Nk
Imefika badhi wanasema kama ndio hvi bora niachane nae.
Usikatetamaa hapo kwenye majaribu Mungu anakupitisha ili utakaposhnda ukampe sifa Mungu najua wapo wana JF wanateseka kwa haya.
Ni maombi yangu wapendwa kweli kuna mapito lakini si magumu kama yandoa naomba uamini ipo siku Mungu atakutoa kwenye maumivu na kukuweka furahani mileli
Yayo ndio maombi yangu kwa Mungu juu yako, ukawe na ndoa ya upendo.
MAPITO YOYOTE UNAYOPITIA NI WEWE MWENYEWE UNAWEZA KUKUBALI YAENDLEE AMA LAH!
Kuheshimiana
Kupendana
Kujaliana na si raha yangu shida chukua wewe
Kusaidiana