Mkuu... Haya maneno ni ya nani??? Au hii post ni ya nani acha basi kuwahadaa wasichana, punguzeni kucheza na hisia za wenzenu, au una nini cha kutuambia???
https://www.jamiiforums.com/mahusia...inyi-wasichana-kwa-nini-hii-tabia-lakini.html
B.G TANTAWI
11th November 2013 14:36
#1
Senior Member
Array
Join Date : 3rd July 2013
Posts : 243
Rep Power : 1560
Likes Received:150
Likes Given:287
Ninyi wasichana, kwa nini hii Tabia lakini?
Mabinti wanakera sana, am very sorry for ladies!
kwa sasa nimefikisha wasichana kama wanne hivi kuwachumbia na kama kawaida kuna swali wananiuliza "Una kazi"? wakati huo huo kati ya hao wanne, ni mmoja tu ndiye ana kazi but the rest ni jobless, sasa wa kwanza nilimjibu kuwa "sina kazi" nikamuuliza "wewe una kazi"? akasema hana khaaa!! nilijisikia vibaya sana kwa swali lake hilo, akasema kama huna kazi "nipotezee" kumbuka wakati huo ki-uhalisia mimi nina kazi na nimeajiriwa! wa pili hivo hivo, wa tatu hivo hivo ila yeye nikamwambia kuwa mimi ni mmachinga tu na nilikuwa nimevaa hovyo hovyo, akasema "sipo tayari" ss wa nne yeye akaniuliza una kazi gani? nikamwambia mimi ni "mkulima tu" nalima mboga mboga nauza soko kuu hapa kariakoo, akasema Mhh! haya bwana nidanganye tu, naye siku hiyo nilikuwa nimevaa hovyo hovyo sana, akasema yeye haangalii "kazi ya mtu" na yupo tayari. kweli kabisa ndo mchumba wangu na mwezi ujao tunaoana.
My take: wasichana muwe makini sana.