heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Ni dkika chache kabla haijatimia sa 9 za usiku, ikiwa ni baada ya kukamilisha kazi zangu (coz mojawapo ya kazi zangu ni blogger na kumanage social networks, ni mitandao inayohitaji upadates za mala kwa mala, nisisitize tu kuwa ninaipenda sana sana kazi kazi, nafanya kazi kwa bidii na huwa nina mda mfupi sana wa kupumzika or kulala) so kabla sijafunga kitendea kazi changu (laptop) ninatafakari kuhusu maisha yangu,nilikotoka, nilipo na ninakoenda.
Nafakari jinsi ninavyoishi na watu,na kiukweli HOD wanavyomchukulia watu wa JF siyo HOD wa hapa mtaani,ni mtu anaependwa na kila mtu, ni mtu anayezungumza kwa amani na kila mtu, ni mtu asiye na visasi wala kuweka chuki rohonni mtiifu kwa kila mtu, pengine ndiyo sababu inayomfanya atengeneze marafiki wapya kila siku japo TITLE nayo inawezakuwa inachangia. Na zaidi HOD ni mtu asiyejari sana kuhusu watu wanasema nn juu yake na zaidi ni mvumilivu sanana ndio sababu yupo alipo leo..
Ntafakari kuhusu idadi ya watu nisio na maelewano nao,idadi naona ni ndogo,kama nilivyosema me si mtu wa visasi,mwepesi kuomba radhi ,kusamehe na kusahau wanaosalia ni wale tu wenye chuki zao zisizo na sbabu ya msingi,ninjamboa la kawaida ni watu ambao tupo nao popote ,wanaifanya dunia izunguke vizuri.
Lkini pamoja na hayo mi ni binadamu tu dhaifu,ninaeweza kukosea mda wowote ninaeweza kumkosea mtu yeyote, na pengine unaweza mkosea mtu kihisia si tu kwa kitendo, ninapenda sana kuishi kwa amani, ndiyo manan ani mtu nisiejari nani anazungumza nini. Nafahamu umhimu wa msamaha, kusamehe na kusamehewa, hivyo basi ninachukua nafasi hii kwa ndugu zangu, rafiki zangu, fans wangu (i mean wanopenda kufuatilia thread zangu,na wanaonipenda tu pengine kwa kaz zangu)na wengine wote, kwa dhati kabisa naombeni kama kuna mtu nimewahi mkwaza kwa vvyovyote, aidha kwa matamshi yangu ama vyoyote,ANISAMEHE, mimi nishasamehe kila mtu hata kabla sisjaanza kuandika ninachokiandika.
Kwa wale ndugu zangu ambao mim kwao sina jema, wale wenye chuki tuu binafsi pasipo sababu za msingi wasijari,sina tatizo nao, na wala siwachukii, kwa sababu sina reason ya kuwachukiza nina imani siku moja watakuwa by my side na kuwa rafiki wema.
Ahsanteni sana ,usiku mwema