comfix
Member
- Feb 15, 2014
- 59
- 11
Habari zenu wadau, leo kuna jambo nimeona tukumbushane. Kutokana na mabadiliko ya maisha, zama zile msichana kupata nafasi ya kukutana nae ili umweleze yako ya moyoni ilikuwa kitendawili, mimi nakumbuka niliwahi kutumia zaidi ya saa nne nimebana kichakani ktk njia ielekeayo kisimani nikimsubiri apite ili nipenyeze ujumbe. Hatimae nilimwona anakuja, hatua chache kabla hajanifikia nilijitokeza mbele yake na kudondosha kijibarua changu ili akiokote kisha nikachapa mwendo ili tusionekane na watu! Hebu nawe tupe style yako