Shamkware
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 1,756
- 2,309
Nadhani kila mtu anakumbuka vizuri alivo ingia kwenye mahusiano kwa Mara kwanza kabisa Mi binafisi nakumbuka nilikuwa Kidato cha pili miaka Kadhaa iliyopita nilikuwaga nikisikia tu mapenzi matamu sana.
Hata hivo nilikuwaga domo zege vibaya rafiki yangu alinisaidia kumtongoza Class montress wangu akanikubali nikaenda kugegeda kwa mara ya Kwanza daaah wey back sana aisee, vp upande wako mwana JF unakumbuka ulianza ukiwa kidato gani au Wamo humu ambao hawajaanza?