julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
Hapa kitaa kuna jamaa kaoa kama miaka miwili hivi ndio wana kitoto kichanga cha miezi miwili yeye na mke wake! sasa jamaa kafumaniwa anafanya mapenzi na mdada wao wa kazi duh!!!! mke wake first step kamtimua mfanya kazi ni wa mkoani kwao na mwanamke, second step anademand aombwe msamaha na mme wake, jamaa hataki mwanamke kafungasha!!!!!!!!!! Jamaa anaomba ushauri wenu afanye nini bila kutumia neno naomba unisamehe kunusuru ndoa yake?