Uzuri wa mwanamke ni upi?

Uzuri wa mwanamke ni upi?

Tarime one

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
2,246
Reaction score
1,742
Waswahili tuna msemo kwamba uzuri wa mwanamke ni tabia, mbona akipita mwanamke wanaume tunaangalia ------,,!au tabia iko matakoni??
 
mimi na makanyagio yao..jamani!!!!!!
 
Wanawake hawana uzuri wowote ni hizo lipstick,poda, mini-skirt n.k ndo vinavyo wapendezesha kama huamini fanya hii research ndogo
1)Mchukue mwanamke mnyoe nyele zote
2)mnawishe uso na maji ya chumvi
3)mpeleke msibani alie weeeeeee

halafu muangalie kama hauta kimbia
 
toka chama cha kijani kiingie... tumeona mengi sana!

hili nalo ni mojawapo!

tabia ziliishia mwaka 2005 na kurudi nyuma!
 
Wanawake hawana uzuri wowote ni hizo lipstick,poda, mini-skirt n.k ndo vinavyo wapendezesha kama huamini fanya hii research ndogo
1)Mchukue mwanamke mnyoe nyele zote
2)mnawishe uso na maji ya chumvi
3)mpeleke msibani alie weeeeeee

halafu muangalie kama hauta kimbia

Ww jamaa kilaza kweli.
 
Last edited by a moderator:
Waswahili tuna msemo kwamba uzuri wa mwanamke ni tabia, mbona akipita mwanamke wanaume tunaangalia ------,,!au tabia iko matakoni??

Kila mtu ana jinsi ya ku define uzuri wengine uzuri si mwonekan hiii ilikuwa zaman flan huko enzi za wazee wanadefine uzur kuwa ni tabia ndo msemo ulipotokea, ila sis kipindi hik tuna jins yetu ya ku define uzuri, uzuri=urembo=mvuto...
 
Back
Top Bottom