stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
Wakuu habari Zenu, twende kwenye mada moja kwa moja.
Hivi Mahari ni muhimu kulipwa? Mantiki ya mahari ni nini? Hivi hatuoni kuwa ni sababu ya w/wake kunyanyaswa? M/ume analipia Mahari kwa maana ya zawadi au kununua? Tunaonaje Mila nyingine zikafutwa ni pamoja na kuoa kwa kulipa mahari.
Nawasilisha wakuu.