Mara ya mwisho kumtoa outing mkeo lini?

Mara ya mwisho kumtoa outing mkeo lini?

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,372
Reaction score
38,728
Embu tukumbushane.

Si vibaya kumtoa outing mke,yawezekana umesahau au umepitiwa ila si haba kumbuka kumtoa outing mkeo.

Je wewe mara ya mwisho lini?hata ile bar ya Kunonz inatosha.
 
Mi hata huwa sielewi unavyoandika. Nilikuwa nadhani kuwa huwa unaandika kwa papara lakini nadhani I was wrong. Ndivyo ulivyo
 
Pole sana nicas
polepole utamwelewa didy aukuanzj wewe
 
Mimi ilikuwa mara tu baada ya uhuru wa Tanganyika 1963.
 
Hahaa coral njo kwa gwajima nikuombe
natmain bado ndoa imara
 
Mi hata huwa sielewi unavyoandika. Nilikuwa nadhani kuwa huwa unaandika kwa papara lakini nadhani I was wrong. Ndivyo ulivyo

Kumuelewa Pdidy lazima akili yako uishushe ilingane na ya darasa la saba
 
Last edited by a moderator:
Mm nakumbuka kuna siku nilimwachia sh elfu kumi(10,000) ya matumizi ile hela akaitumia kwenda saloon baadae akawa haja pika kumuliz analeta habar hiz nilimtoa nduki nje(out) majirani wakagombelezea picha likaishia hapo hahaaaaa ni "burdaniiiiiiiiii".
 
Mm nakumbuka kuna siku wife nilimwachia hela ya tumizi yeye kaenda salon narud hajapika kumuuliz analeta habari hizo nilimtoa nduki(out) we!! majirani wakagombelezea picha likaishia hapo hahaaaaa ni "burudaniiiiiiiiii".
 
Kila yakiitishwa maandamano ya chadema popote nchini mi namtoa out wife
 
Back
Top Bottom