Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimefunga ndoa mwaka jana na mchumba wangu ambaye tulianzia kwenye urafiki wa muda mrefu, uchumba hatimaye ndoa. Msichana niliye muoa was just born in 1995. Baba yake...
0 Reactions
58 Replies
7K Views
Naombeni msaada nampenda sana boyfriend wangu ila tatzo kuna mambo yananikera hata kupoteza hamu ya ku-sex, ila naogopa kumwambia labda atanichukia. mambo yenyewe ni haya. 1;NYWELE KWAPANI- kweli...
1 Reactions
165 Replies
18K Views
Kila mtu anapenda kuwa huru na maamuzi yake mahali popote pale iwe kwenye ndoa, kazini n.k... Shida ni kutoa uhuru kwa mtu mwingine mfano kumruhusu mke/mme kurudi nyumbani muda anaotaka! Kwa...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Last week nilitoka mkoa ninaoishi nikaenda dar na kwa bahati nzuri nilikutana na mtu alienipa namba ya rafiki yangu wa kike tulisoma wote O- level na bahati mbaya tulipotezana baada ya mimi kuhama...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari ya blue Monday wapendwa katika Bwana, hope weekend ilikuwa poa, japo mjadala wa posho na matokeo ya F4 unaendelea badala ya rasimu ya katiba mpya ambayo ndo mstakabali wa nchi! back to the...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Nina mke wangu wa ndoa nampenda sana, nimegundua ana mwanaume mwingine na hataki kuomba msamaha anasema nimpe talaka alivyoona sijampa akaamua kuondoka leo siku ya 3 hajarud nifanyaje naombeni...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Hivi ni kwa nini wanaume wa kipemba wanapenda sana kuwachezea madada wa kibongo lakin wakita kuowa wanaenda pemba kustiri ndugu zao ?wanasema bongo mazoezi tu mechi nyumbani PEMBA.
1 Reactions
25 Replies
9K Views
Salam, Natafuta binti wa kunipenda katika msimu huu wa wapendanao, VIGEZO, Umri miaka 18 hadi 24, mweusi, asiwe mnene , mrefu, mtanzania, anayejieshimu. Aliye tayari ani PM
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Hii Girl, Naitwa Erick nina umri wa miaka 28, single boy! nafanya kazi napenda kuwa na Friends wa kike kwa ajili ya kampani, kama ku chat outing na kubadilishana mawazo ya kimaisha na maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Wana Jamvi ninasueni, Mke wa Mjeshi amenizima ghafla nikashawishika tukavunja amri ya sita. Sasa mazoea yamekuwa kawaida, hivi majuzi alinitamkia kuwa anataka azae na mimi. Sasa wanandugu Mjeshi...
0 Reactions
112 Replies
13K Views
Kila binti awe mrefu au mfupi anatamani kuwa na mwanaume mrefu,sasa najiuliza hawa wanaume wafupi nani anawataka jaman?jiandaeni kisaikolojia ndugu zangu wafupi,maana mna hatari ya kukosa wanawake...
2 Reactions
131 Replies
17K Views
Naona imekuwa fasheni siku hizi....... ni wiki ya pili sasa nalala gesti, maana kila nyumba nnayokanyaga wanataka cheti cha ndoa!.....hata sababu ya kunifanyia hivi siioni maana wenye nyumba...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Jamaa amekatikiwa hadi kasahau kama ameo,Ungekuwa wewe Bibi Harusi hapo Ungefanyaje?
0 Reactions
36 Replies
9K Views
JINSI JINI ALIVYOLITESA PENZI LANGU; Eposide 1 Ilikuwa ni alhamisi tulivu yenye upepo mwanana huku watu wakiendelea na shughuli za ujenzi wa taifa.Madaktari nao walikuwa bise na taaluma yao ya...
2 Reactions
29 Replies
22K Views
Unakunywa pombe zangu tena kwa fujo sana, natumia pesa zangu kukodi taxi, natumia pesa zangu kukodi chumba tena hotel ya maana ili kukufurahisha wewe. Tunafika chumbani unaanza "likubwa mimi...
3 Reactions
67 Replies
7K Views
mm ni mwanamke, nina miaka 35, nimeajiriwa, sifa awe na miaka 36-45, anayeishi Tanga, muislamu anayeijua dini, awe na mapenzi ya kweli aliyetayari tuwasiliane.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina rafiki yangu tumezoeana sana, pia tumeishi wote lakini anafanya kazi mbali na mimi na ni miaka miwili hatujaonana. Kanijulisha kuwa kamchukua binti wa watu na anaishi nae ili baadae wafanye...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari. Leo ofisini kuna mtu kaniamkia na maswali mengi sana ambayo mara nyingi huwa nashindwa kuyajib hadi nakuwa najifeel too inferior. Tuwe tunajiuliza maswali kama haya kwasababu wengi wetu...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
ningependa kupata mwanamke aliye tayari kuishi na mimi kama mke , ambaye anaweza kumiliki miradi hata kama sipo kwa uaminifu mkubwa . kwa kuwa na mimi ni baba wa watoto 2 wakubwa , ningependa...
4 Reactions
60 Replies
7K Views
Hivi nyie haiwezekani kuonekana warembo pasipo kuweka hayo madubwasha yenu? Kila unaemwona nywele za bandia, kucha za bandia, kope za bandia, make up ndo kabisaa mpaka ndugu zenu wanawasahau...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…