Jamani nifanyaje? naombeni ushauri

Jamani nifanyaje? naombeni ushauri

Mullocoz

Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
23
Reaction score
2
Nina mke wangu wa ndoa nampenda sana, nimegundua ana mwanaume mwingine na hataki kuomba msamaha anasema nimpe talaka alivyoona sijampa akaamua kuondoka leo siku ya 3 hajarud nifanyaje naombeni ushauri.
 
Nina mke wangu wa ndoa nampenda xana nimegundua ana mwanaume mwingine na hatak kuomba msamaha anasema nimpe talaka alivyoona cjampa akaamua kuondoka leo ck ya 3 hajarud nifanyaje naomben ushauri

Mkuu kwani mmezaa kusema kama kuna kitu kinachowaunganisha? Kama hamjazaa ni bora umuache ili mapenzi yake yatimie. Hana tena mapenzi na wewe kwa sasa so hata ufanyaje ni kazi bure tu hapo.
Kumbuka kuwa mapenzi hayavutwi kwa kamba.
Hayo ni kwa upande wangu tu mkuu ila najua hapa utapata mengi tu zaidi ya haya.
Pole sana kwa hayo masahibu yako. I can imagin how confused you are.
 
Nina mke wangu wa ndoa nampenda xana nimegundua ana mwanaume mwingine na hatak kuomba msamaha anasema nimpe talaka alivyoona cjampa akaamua kuondoka leo ck ya 3 hajarud nifanyaje naomben ushauri

Ushauri gani sasa wakati keshaona mgegedo wako ni cha mtoto
 
Nina mke wangu wa ndoa nampenda xana nimegundua ana mwanaume mwingine na hatak kuomba msamaha anasema nimpe talaka alivyoona cjampa akaamua kuondoka leo ck ya 3 hajarud nifanyaje naomben ushauri

Rudi kwanza kajifunze kuandika kiswahili fasaha bila kuchanganya herufi, haiwezekani s iwe x na si iwe c au siku iwe ck. Kwa akili hiyo ya mulugo kaka hustahili kuwa na mke hata kidogo. Pangilia maelezo kwa ufasaha haukimbizwi kuweka thread.
 
Nina mke wangu wa ndoa nampenda xana nimegundua ana mwanaume mwingine na hatak kuomba msamaha anasema nimpe talaka alivyoona cjampa akaamua kuondoka leo ck ya 3 hajarud nifanyaje naomben ushauri

xaxa ww c hy wf hkpn uxixumbue kchw
 
Nina mke wangu wa ndoa nampenda xana nimegundua ana mwanaume mwingine na hatak kuomba msamaha anasema nimpe talaka alivyoona cjampa akaamua kuondoka leo ck ya 3 hajarud nifanyaje naomben ushauri

Me nadhani tatizo kubwa linaanzia kwako hata namna yako yakufikiri ndo imechangia kugeuza matumizi ya herufi sasa.
 
pole sana, akufukuzae hakwambii toka, muache aende zake dunia ikamnyoshe atarudi mwenyewe kwa magoti wakati nafasi yake itakuwa haipo tena.
 
Maxkini!! Polee !! Amekuona bado you mtoto kapata mkubwa mwenzie muache tu!!
 
Nina mke wangu wa ndoa nampenda sana, nimegundua ana mwanaume mwingine na hataki kuomba msamaha anasema nimpe talaka alivyoona sijampa akaamua kuondoka leo siku ya 3 hajarud nifanyaje naombeni ushauri.
Pole sana ndugu yangu tatizo letu hatupigi bao za kiufund sasa wakitoka nje wakakutana na wanaojua kazi hapo ndo hua mengine.chakufanya mkuu wataarifu ndugu zake na uangalie mengine "mtoto akililia wembe mpe"kama talaka we mpe aende zake
 
Nina mke wangu wa ndoa nampenda sana, nimegundua ana mwanaume mwingine na hataki kuomba msamaha anasema nimpe talaka alivyoona sijampa akaamua kuondoka leo siku ya 3 hajarud nifanyaje naombeni ushauri.

Mmmmmh!
 

Attachments

  • Problem solved.jpg
    Problem solved.jpg
    7.8 KB · Views: 254
kuna msanii aliimba hivi...''kicheche akikukimbia, mwache atarudi analiaa''.
Pole sana bro..
 
Nini kiliwafanya mtengane na ni mke wandoa au ni yule wa kukaa nae tuu na mna mtoto nae au bado
Sababu haswa za yeye kutaka talaka ni nini
Mlianzia ugomvi wapi mpaka afikie kusema anataka talaka
 
Nina mke wangu wa ndoa nampenda sana, nimegundua ana mwanaume mwingine na hataki kuomba msamaha anasema nimpe talaka alivyoona sijampa akaamua kuondoka leo siku ya 3 hajarud nifanyaje naombeni ushauri.
Kwakuwa hatujasikiliza upande wa pili ....ni vigumu kukushauri ! maauzi yako YAPO ndani ya matendo ya mkeo uliyotuambia
  • katembea nje ya ndoa hataki kuomba msamaha...Kimantiki wewe umehamsamehe kabla hata hajakuomba ,unachosubiri ni matamshi yake !Kama unasubiri akutamkie na hataki basi msamehe
  • Lakini la kwanza linakuwa gumu zaid i kwan baada ya kukataa kuomba msamaha; ameamua kuondoka
  • Hapa hakuna ushauri labda tukupe mwongozo
  • Karipoti Polisi then kwa ndugu zake ,,,uanze maisha mapya
  • Lakini kama hata baada ya kukataa kuomba msamha na bado unajisikia kumsamehe ....USIKILIZE MOYO WAKO ,UKIFANYIA MAREO AGANO LA NDOA YENU ULIZINGATIA NA UTAMUDUNI/MAPOKEO YAKO
  • POLE KWA MASIHIBU !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom