wanawake wa kibongo
hufuata nyota ya kijani, hao wenzetu nyota ya kijani hawaijui kwa miaka 7
ndani ya ndoa mama anokuwa na watoto 7, mambo hayo m,bongo hawezi. kisa
cha msichana wa miaka 23 kuzeeshwa na uzazi kama bibi wa miaka 60 nini.
wadada wa bongo wanaenda na wakati ndio mana hao wapemba
wanawashindwa

Hilo jibu
nimelipenda mkuu atembee mji mzima huku na kule akimuona chokaraa wa
kipemba ampige picha atuwekee hapa
Wapemba washenz tu hao.kumoabibizao
...wadada wa kibongo hawajui kupika urojo...
Sio hawataki kuolewa na wapemba , wao hawatakiwi na wapemba, fuatilia kwanini wanakua wakali pind wanaposkia mwanamme aliekua nae ashaenda pemb kutafta mke ? Jibu hoja acha UKILAZA.
Hilo jibu nimelipenda mkuu atembee mji mzima huku na kule akimuona chokaraa wa kipemba ampige picha atuwekee hapa
Kwanini hatuwaoni watoto wakipemba wakiwa chokoraa, omba omba, lakin nyinyi wabongo munaozaa kwa mpango mbona chokoraa nyingi mitaani? Tafautisha kati ya kuzaa sana na kuzaa ovyo.
Wapemba washenz tu hao.kumoabibizao
Wacha wee!!!