Natafuta mwanamke aliyeachika na mwenye watoto

Natafuta mwanamke aliyeachika na mwenye watoto

uvugizi

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,351
Reaction score
1,099
ningependa kupata mwanamke aliye tayari kuishi na mimi kama mke , ambaye anaweza kumiliki miradi hata kama sipo kwa uaminifu mkubwa . kwa kuwa na mimi ni baba wa watoto 2 wakubwa , ningependa mwenza wangu naye awe na watoto angalau wawili ku balance maisha ya kifamilia, na no kuzaa na tuwe kitu kimoja , lakini awe business oriented , ajue kufuga kuku, ngombe kuweza ku deliver consignement zaidi ya mikoa 3 yaani mtu wa kusafiri mara order inapohitajika . awe msomi angalau kidato cha 4 kuendelea, aged 35yrs na zaidi . aliye serious ani pm, no jokes . sungura tope na gold diggers msijisumbue​
 
lakini awe business oriented , ajue kufuga kuku, ngombe kuweza ku deliver consignement zaidi ya mikoa 3 yaani mtu wa kusafiri mara order inapohitajika . awe msomi angalau kidato cha 4 kuendelea, aged 35yrs na zaidi . aliye serious ani pm, no jokes . sungura tope na gold diggers msijisumbue​

Mmhh!!!! Dada zetu mtautambua uongozi leo.
 
Kwa nini awe aliyeachika kwani waliozaa bila kuolewa nao si wana watoto?
 
ningependa kupata mwanamke
aliye tayari kuishi na mimi kama mke , ambaye anaweza kumiliki miradi
hata kama sipo kwa uaminifu mkubwa . kwa kuwa na mimi ni baba wa watoto
2 wakubwa , ningependa mwenza wangu naye awe na watoto angalau wawili
ku balance maisha ya kifamilia, na no kuzaa na tuwe kitu kimoja ,
lakini awe business oriented , ajue kufuga kuku, ngombe kuweza ku
deliver consignement zaidi ya mikoa 3 yaani mtu wa kusafiri mara order
inapohitajika . awe msomi angalau kidato cha 4 kuendelea, aged 35yrs na
zaidi . aliye serious ani pm, no jokes . sungura tope na
gold diggers msijisumbue​

All the best mkuu, hope mungu atakusimamia katika hili.
 
Kwa nini awe aliyeachika kwani waliozaa bila kuolewa nao si wana watoto?
umri wangu ni mkubwa kwa hiyo huwezi ukawa na mtu ambaye maisha yake anawaza mtoko mara TAARAB, DISKO nk , kwanza maendeleo, mengine baadaye. na kama wote tutakuwa na watoto ni rahisi watoto wakatuunganisha na hakuna atakayefanya upuuzi kwa mwenzake kama cheating n.k , as far as kuna miradi ya kuungalia for the future of our childrens
 
Mmhh!!!! Dada zetu mtautambua uongozi leo.
uongozi upi mkuu mbona sipo serikalini , ni mjasiriamali tu even though nina kampuni binafsi tu, mke alishafariki kwa tatizo la moyo she was overweight thats all.
 
Yupo jamaa mmoja kila akioa wakeze hufariki hivi hili huwa ni tatizo gani?till now ameamua aishi mwenyewe.
 
Back
Top Bottom