Akina dada muwe mnajiandaa kisaikolojia

Akina dada muwe mnajiandaa kisaikolojia

Power G

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
3,884
Reaction score
1,201
Unakunywa pombe zangu tena kwa fujo sana, natumia pesa zangu kukodi taxi, natumia pesa zangu kukodi chumba tena hotel ya maana ili kukufurahisha wewe.

Tunafika chumbani unaanza "likubwa mimi siwezi".

Shenzi kabisa, ulipokuwa unaniingiza gharama wewe ulitegemea nini?

Ulidhani mimi mjomba wako?

Ndiyo maana nasema muwe mnajiandaa kisaikolojia kwamba chochote utakachokutana nacho utakuwa tayari kukabiliana nacho.

Mhusika ukisoma uzi huu ujue jana umeniudhi sana, shenzi x 10
 
ha!ha!haaaa mweee!mwambie akurudishie gharama zote lol!
 
Sa si ungemtext mhusika tu angekuelewa kuliko kuleta mada huku!
 
Sa si ungemtext mhusika tu angekuelewa kuliko kuleta mada huku!
Lengo ni kwamba na wengine wenye tabia kama hizo wanaopitia humu wajue kwamba wanaboa kwa kweli na wajirekebishe.
 
hahaahahah dah jf kweli raha kwa hiyo mjomba alilala bila kula?
 
Hahaha! Eti likubwa! Ulitaka umperesheni mwenzako loh!! pole wee!!
 
Unakunywa pombe zangu tena kwa fujo sana, Natumia pesa zangu kukodi taxi, Natumia pesa zangu kukodi chumba tena hotel ya maana ili kukufurahisha wewe. Tunafika chumbani unaanza "Likubwa mimi siwezi".

Shenzi kabisa, ulipokuwa unaniingiza gharama wewe ulitegemea nini? Ulidhani mimi mjomba wako? Ndiyo maana nasema muwe mnajiandaa kisaikolojia kwamba chochote utakachokutana nacho utakuwa tayari kukabiliana nacho.

Mhusika ukisoma uzi huu ujue jana umeniudhi sana, shenzi x 10

we mzembe tuu..ungemwambia acheze nalo usiku kucha...kwani lazma aliingize ndo ufike kilele..
>>hivi ni mimi tuuu nakutana nao au jaman kuna madada wanakipawa cha utundu kitandani:shock:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom