comfix
Member
- Feb 15, 2014
- 59
- 11
Hivi nyie haiwezekani kuonekana warembo pasipo kuweka hayo madubwasha yenu? Kila unaemwona nywele za bandia, kucha za bandia, kope za bandia, make up ndo kabisaa mpaka ndugu zenu wanawasahau, kuongea mzungu si mzungu mswahili si mswahili yaani kila kitu ni artificial hivi hamjishtukii? au ndo tuseme mmekwishapoteza mwelekeo?
Sijui mtanijibu nini.
Ngoja niwasikilize.
Sijui mtanijibu nini.
Ngoja niwasikilize.