Last week nilitoka mkoa ninaoishi nikaenda dar na kwa bahati nzuri nilikutana na mtu alienipa namba ya rafiki yangu wa kike tulisoma wote O- level na bahati mbaya tulipotezana baada ya mimi kuhama ile shule tukiwa kidato cha 3.
Nilimpigia simu na alinielekeza ofisini kwake nikamfuata na tulifurahiana sana baada ya kupotezana kwa miaka 17 sasa.
Muda wa kufunga ulipowadia alifunga kazi na tuliondoka na alhamdulilah mambo yake si mabaya ana usafiri so tulikuwa na muda mzuri wa kuongea from posta to mbezi juu anapoishi na wanae.
Huyu mtu amebadilika sana maana enzi hizo alikuwa mkimya but now she is so talkative na pia alinionesha vitabia ambavyo ndivyo vimenifanya niandike uzi huu..!
Tangu naonana nae hakuacha kunisifia jinsi nimekuwa mzuri na jinsi nilivyo na matiti mazuri.
Pia alikuwa akicheka lazima agongeshe na kutuliza mkono wake mapajani kwangu kisha alinibinya kwa namna flani hivi.
Kwa kuwa nilifikia hoteli alinikaribisha kwake kwa siku nitakazokuwepo nami sikukataa ofa hiyo...hatari ilianza siku ya pili yake kwani tulilala pamoja na kwa joto la dar tulioga na kujifunga vitenge na kulala but usiku nilishtuka nilipohisi natomaswa...rafiki yangu alikuwa ananitomasa kwa ufundi mkubwa!
Niliamka na kumuliza vip akaniambia alikuwa ananipepea because aliona nasweat sana.
Nilirud kulala but sikupata usingz tena.
Asubuh niliingia kuoga nae akanifata bafuni as ni huko huko rum, alinishangaza the way alivyokuwa ananiangalia "with lust" km mwanaume mpaka niliona aibu nikaharakisha kutoka but bila kutarajia alivuta kanga niliovaa nikajikuta mikononi mwake na akaanza kunikis...sijawahi kubusiwa na mwanamke (french kiss) nilijickia vibaya sana na nilimpush nikaondoka.
Nilivaa nikabeba vitu vyangu nikarud hotelini. Nilishindwa kujua why alifanya vile so nilimuliza akasema siku hizi hapendi wanaume wala hana hamu nao tangu aachane na mumewe, anaenjoy sex na wanawake wenzie.
Imenishangaza but ameniambia anatamani kuacha but akikumbuka alivotendwa anarudia tabia hiyo so walimwengu niambieni how can I help her?