Jinsi ya kudeal na mama mkwe mpiga mizinga

Jinsi ya kudeal na mama mkwe mpiga mizinga

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
20,006
Reaction score
37,915
Nimefunga ndoa mwaka jana na mchumba wangu ambaye tulianzia kwenye urafiki wa muda mrefu, uchumba hatimaye ndoa. Msichana niliye muoa was just born in 1995. Baba yake alizaliwa mwaka 1970 na ni rafiki yangu mkubwa sana.

Huyu msichana pamoja na wadogo zake wamelelewa na mama wa kambo, baba yao aliachana na mama yao tangu mwaka 2005 so sasa hivi mama yao anaishi home kwao hapa hapa mjini. Huyo mama mkwe amezaliwa mwaka 1977.

Tatizo la mama mkwe, anapiga sana mizinga. Nilijitambulisha kwake kwa njia ya simu mnamo mwaka jana. Mwezi mmoja kabla ya kwenda kutoa mahari ukweni.

Siku naongea nae tu kwenye simu, nikapigwa mzinga siku hiyo hiyo.

Hzikupita wiki mbili nikapigwa tena mzinga mwingine. Halafu kitu anacho nikera, akipiga mzinga ukamwambia siku fulani halafu hiyo siku ukapotezea basi ana fanya follow up, atapiga simu na kutuma meseji akiulizia kama umeshatuma mzigo au vipi.

Kila wiki lazima apige mzinga.

Hii kwangu ni kero kubwa sana na nadhani siwezi kuivumilia hata kidogo coz ninaishi kwa kufuata utaratibu ulio nyooka.

Nimejaribu kumchimba baba mkwe akaniambia u know she is so desperate and all that.

Kumwambia mama mkwe sipendi unavyo nipiga mizinga, siwezi coz najua kibongo bongo sio poa kivile.


Mama mkwe analipa kiukweli tena analipa sana. sana tu yani, tena sana, tena sana yani!

Kesho nyumbani kwangu, kutakuwa na sherehe ya kuzaliwa ya binti wangu wa kwanza. Mama mkwe atakuwa ni mmoja kati ya wageni waalikwa.

Jamani kama kuna bachelor yoyote humu ndani au mwanaume yoyote ambaye anajua anaweza kutunza mwanamke please naomba ani- pm, nitamkutanisha na mama mkwe , amkeep busy ili aache kunisumbua bana.

OKOA NDOA YANGU, OKOA NDOA YA MWANA-JF
 
Mkeo 95, baba mkwe 70, mama mkwe 77, Wewe je umezaliwa mwaka gani?

Sema ili nikupe mbinu ya kumtolea nje. Alafu muendeleze huyo binti kielimu (ni mmoja wa wahitimu wa mwaka jana?) au mfungulie biashara ili mama yake apate pakuomba zaidi ya kwako.
 
kama mzuri mbona wewe umemshindwa?
 
Naona unazo fedha zakutosha...
Mama mkwe akibeep tu unatuma.

Sijakupata kama umechoka kupigwa mizinga.

Jibu moja la sina au masuala yako ya kifedha sio mazuri..

Make up an excuse .....
Man uuuup dude.
 
Duh kaka pole sana kwa hilo, ila naomba lisikupe shida mkuu maana unaambiwa kuwa UKIPENDA BOGA PENDA NA UA LAKE
 
Naona unazo fedha zakutosha...
Mama mkwe akibeep tu unatuma.

Sijakupata kama umechoka kupigwa mizinga.

Jibu moja la sina au masuala yako ya kifedha sio mazuri..

Make up an excuse .....
Man uuuup dude.

Ni kweli kaka, ila mimi ni mmoja kati ya watu ambao huwa hatuwezi kusema" Sina pesa' au " Hali ni ngumu" .Hayo maneno huwa siyapendi kabisa na huwa naya relate na bad luck and all that. Tatizo huyu mdada ( mama mkwe ) anashindwa kujiongeza kabisa. I dont need her to be a part of my family. Mwisho wa siku naona kama nitagombana naye vile coz naona kama ndio njia ya uhakika ( ingawa sio nzuri ) ya kumpotezea huyu mdada.
 
Duh kaka pole sana kwa hilo, ila naomba lisikupe shida mkuu maana unaambiwa kuwa UKIPENDA BOGA PENDA NA UA LAKE

So u mean, mama mkwe nayeye nimchape nao? Siwezi fanya hivyo kaka, namuheshimu sana huyu mke wangu. What has she done to me to deserve all that ? Am speaking this out of good
 
Mama mkwe analipa eeeh ? Una yako wewe

Afterall akikuomba hela si umwambie tu sina? Ya nini utoe huku unaumia au utoe ahadi ilhali huna kitu? Usingemuendekeza usingekereka
 
team#Mabazazi fursa hiyo

Natamani niongee na Ray, JB au Richie Richie, wampe scene kwenye movie( hela ntalipa mimi), najua waheshimiwa wakimuona huko, anaweza kupewa UBUNGE WA VITANDA MAALUMU!
 
Mama mkwe analipa eeeh ? Una yako wewe

Afterall akikuomba hela si umwambie tu sina? Ya nini utoe huku unaumia au utoe ahadi ilhali huna kitu? Usingemuendekeza usingekereka

Ni kweli kaka, ila mimi ni mmoja kati ya watu ambao huwa hatuwezi kusema" Sina pesa' au " Hali ni ngumu" .Hayo maneno huwa siyapendi kabisa na huwa naya relate na bad luck and all that.
 
Sio umchape nao, hudumia vitu anavyokuomba maana unampenda mkeo
So u mean, mama mkwe nayeye nimchape nao? Siwezi fanya hivyo kaka, namuheshimu sana huyu mke wangu. What has she done to me to deserve all that ? Am speaking this out of good
 
kuzunguka koote pointi yako iko hapa!
Kula tu kama vipi:biggrin1:

Hapana kaka, nimeonge hivyo ili kumdescribe tu mzazi wangu huyu wa kisheria ili interested parties wapate mental picture ya how she look like but honestly i cant do such a thing like that in this planet which me and u are livin
 
Sio umchape nao, hudumia vitu anavyokuomba maana unampenda mkeo

Hapo ntakuwa nakosea kaka, coz mwisho wa siku hata huyu mke wangu anaweza kunielewa vibaya and nitakuwa sija solve tatizo coz i just want to keep my distance away from her
 
Fiksi tu hizi....

What is the basis of ur argument? Anyway huwezi kuanzisha uzi JF bila m,tu kujitokeza na kusema ni fix or somethin. Ningeshangaa sana kama asingejitokeza mtu mwenye wazo kama lako brother. But all in all watu8 ni mmoja kati watu ninao wakubali sana hapa JF
 
Back
Top Bottom