MWATANI
Member
- Feb 14, 2014
- 45
- 44
Wadau ni shauri kwa hili, Binafsi simuelewi mwenye nyumba wangu (mama mwenye nyumba), siku hizi ameanza tabia ya kuanika kufuli zake karibu na dirisha langu, mbaya zaidi juzi wakati mvua inaanza kunyesha siku ya jumamosi nilipokea simu yake ikiniomba nimuingizie nguo zake ndani japo, akutamka wazi ni nguo gani, lakini alimaanisha hizo kufuli zake, Ushauri wenu ni muhimu kwangu.