Akina dada kwanini mnavunga huku manataka??????

Sinai

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
288
47
:panda::panda::panda:Jamani, kuna madada mmjo nilimdondokea sana, nikatia timu watu wangu, cha ajabu akadai kusumbus sana mara ninawangu, mara sipendelei mambo hayo, mara nipo busy sina muda, mara sijui nini n.k n.k. Nilipo amua kuacha sasa analaumu eti nilikuwa nampima au? Mbona kimya changu kimezidi? Sasa nauliza kwanini alikuwa nanata kwa maneno kibao, usumbufu n.k wakati anapenda????????????????:panda::panda::panda:
 
Mwanamke mwenye thamani hujithamini!!!!!! wewe ulitakaje???????? au unadhani kila mwanamke ni maharage ya mbeaaa??????
 
Mwanamke kuringa babu eehhh.

Halafu ukiandika hebu jaribu kurudia kusoma maana mie nimejitahidi tu kuelewa kinguvunguvu maana maneno yamekatika mengine hayaeleweki kabisa hapo chini nimeweka red.

Jamani, kuna madada mmjo nilimdondokea sana, nikatia timu watu wangu, cha ajabu akadai kusumbus sana mara ninawangu, mara sipendelei mambo hayo, mara nipo busy sina muda, mara sijui nini n.k n.k. Nilipo amua kuacha sasa analaumu eti nilikuwa nampima au? Mbona kimya changu kimezidi? Sasa nauliza kwanini alikuwa nanata kwa maneno kibao, usumbufu n.k wakati anapenda????????????????
 
ha ha ha hah aaaaaaaaaaaaa da Dena tena ukiwa na chakuringiaa!!!
 
duuh! Mimi ninafikir mlikutana wote MAPLAYER wakat unamfuata alikuwepo na mwngne alikuwa anamuudumia wewe ulikuwa misscall wakat wewe ulikuwa huna na wakat wewe umepata mwngne hv sasa yeye alishamtosa yule mwngne so kaz kwako kama vp kula mzgo kunja kona
 
Tukiwa wagumu =Tunaringa
Tukiwa warahisi=Malaya

please, give us a brek...
 
:panda::panda::panda:Jamani, kuna madada mmjo nilimdondokea sana, nikatia timu watu wangu, cha ajabu akadai kusumbus sana mara ninawangu, mara sipendelei mambo hayo, mara nipo busy sina muda, mara sijui nini n.k n.k. Nilipo amua kuacha sasa analaumu eti nilikuwa nampima au? Mbona kimya changu kimezidi? Sasa nauliza kwanini alikuwa nanata kwa maneno kibao, usumbufu n.k wakati anapenda????????????????:panda::panda::panda:

Huyo mwanamke poa! I like that. Ladies you should play hard to get :juggle:
 
Tukiwa wagumu =Tunaringa
Tukiwa warahisi=Malaya

please, give us a brek...

afrodenzi, Ni afadhari mtu ukaambiwa unaringa kuliko watu wakasema yule dada hajui kukataa.. Kuna kauli tunazipata kwa watu zinauzi sana, ni za kudhalilishwa.. Ringeni Bwana nyinyi ni wazuri na Mungu aliwaumba hivyo!
 
Elia big up sanaaaaaa!!!

mwanamke si maharage ya mbeya maji mara moja!!

Tena si jamvi la wageni!!

hasaaaa ukijitambua ww ninani!!
 
afrodenzi, Ni afadhari mtu ukaambiwa unaringa kuliko watu wakasema yule dada hajui kukataa.. Kuna kauli tunazipata kwa watu zinauzi sana, ni za kudhalilishwa.. Ringeni Bwana nyinyi ni wazuri na Mungu aliwaumba hivyo!

Elia I'm taking u out for dinner tonight..
Sante sana my dear..
yaani hii thread ifungwe tu
Maana kazi kwisha..
anayetaka kujua zaidi
Am PM Ellia
 
:panda::panda::panda:Jamani, kuna madada mmjo nilimdondokea sana, nikatia timu watu wangu, cha ajabu akadai kusumbus sana mara ninawangu, mara sipendelei mambo hayo, mara nipo busy sina muda, mara sijui nini n.k n.k. Nilipo amua kuacha sasa analaumu eti nilikuwa nampima au? Mbona kimya changu kimezidi? Sasa nauliza kwanini alikuwa nanata kwa maneno kibao, usumbufu n.k wakati anapenda????????????????:panda::panda::panda:

Kumpenda mwanamke na yeye akakupenda haina maana ndio umtokee asubuhi, jioni ufanye dhambi. Inapendeza kama mwanamke anasumbua. Na usumbufu ni sehemu ya kupima seriousness ya mwanaume pamoja na commitment.

Kwanza ingekuwa ndani ya uwezo wangu ningewalazimisha wadada wa kiTZ wasitoe tunda kwa mtu yeyote mpaka asotee kwa zaidi miezi sita.
 
afrodenzi, Ni afadhari mtu ukaambiwa unaringa kuliko watu wakasema yule dada hajui kukataa.. Kuna kauli tunazipata kwa watu zinauzi sana, ni za kudhalilishwa.. Ringeni Bwana nyinyi ni wazuri na Mungu aliwaumba hivyo!

Elia hebu soma hapa chini

The Following 2 Users Say Thank You to Elia For This Useful Post:

afrodenzi (Today), Dena Amsi (Today)​
 
Mwanamke kuringa babu eehhh.

Halafu ukiandika hebu jaribu kurudia kusoma maana mie nimejitahidi tu kuelewa kinguvunguvu maana maneno yamekatika mengine hayaeleweki kabisa hapo chini nimeweka red.

Jamani, kuna madada mmjo nilimdondokea sana, nikatia timu watu wangu, cha ajabu akadai kusumbus sana mara ninawangu, mara sipendelei mambo hayo, mara nipo busy sina muda, mara sijui nini n.k n.k. Nilipo amua kuacha sasa analaumu eti nilikuwa nampima au? Mbona kimya changu kimezidi? Sasa nauliza kwanini alikuwa nanata kwa maneno kibao, usumbufu n.k wakati anapenda????????????????
Asaidiwe tu huyu member... Nafikiri hata salam hakuanza nayo...kama vile ......
Sasa kama alikusumbua..akaacha lakin amejirudi kuna ubaya gani?
Kua uyaone...ndivyo wadada wengi walivyo hasa wakiafrika.
Hawana uhakika na maamuzi yao. Hawa ndio nmewachunguza! Lakin nawapenda pia.
 
Mpaka kumkubali mwanaume kwa mwanamke anayefikiria pana safari ndefu, hasa kama mahusiano hayo hayatokana na urafiki, yani mtu kaja kakuambia mi nakupenda nataka.... Dah lazima ufikirie aisee, halafu kuna wakati Roho inapingana na mwili!! Mwili unaweza ukakubali lakini Roho ikakataa!!!! Lakini baadae ukajikuta nafsi inakubali na roho nayo inakubali.
 
ha hahaaaaaaaaaaaaaaa

Da Dena mie si ninacho cha kuringia lol!!! lazima niringe!!
 
Wachunguze jogoo na mtetea utapata majibu. Unataka umrukie tu anywee? Ikitokea hivyo utaleta hadisi gani ingine? Nasema watoto humu wamekuwa wengi.
 
Mwanamke kuringa babu eehhh.

Halafu ukiandika hebu jaribu kurudia kusoma maana mie nimejitahidi tu kuelewa kinguvunguvu maana maneno yamekatika mengine hayaeleweki kabisa hapo chini nimeweka red.

Jamani, kuna madada mmjo nilimdondokea sana, nikatia timu watu wangu, cha ajabu akadai kusumbus sana mara ninawangu, mara sipendelei mambo hayo, mara nipo busy sina muda, mara sijui nini n.k n.k. Nilipo amua kuacha sasa analaumu eti nilikuwa nampima au? Mbona kimya changu kimezidi? Sasa nauliza kwanini alikuwa nanata kwa maneno kibao, usumbufu n.k wakati anapenda????????????????
Dena hii ndio lugha ya vijana wetu wa enzi za JK na nikitumia utabiri wangu atakuwa form 2,wa form 4 hao tayari wataalam lol!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom