Naombeni msaada wenu tafadhali...

Naombeni msaada wenu tafadhali...

Natal Vice

Member
Joined
Dec 8, 2013
Posts
16
Reaction score
8
Habari zenu wana JF hivi kuna madhara yeyote kwa mwanamke aliyejifungua kwa opperation kushika ujauzito ndani ya mwaka mmoja na nusu? tangu ajifungue?
 
dada angu alikaa miezi kumi akapata mimba na akajifungua salama bila kisu hvyo wanae kama mapacha
 
It depend rafiki...please muone gyna wako akupatie ushauri. Mambo ya afya si vyema kuchukua ushauri km hivi , jali afya yako.
 
Inategemea na age na afya yako...period its vary from 6 month to 23 months obvios kama una mtoto mchanga ni after 23 months...na ndo umuhimu wa kunyonyesha unapokuja maana unasaidia hata kupanga ratiba nyingine... Ila dont concive below 6 months utapata matatizo...ikiwapo rapture of uterus
 
Ngoja madoktaz waamke!! Wapo zam wamelala ofisin!!
 
Back
Top Bottom