Ushirikina/waganga

Ushirikina/waganga

Joined
Feb 16, 2014
Posts
67
Reaction score
31
Kwa wale wanandoa au wapenzi...please kuweni makini na hawa watu ni wabaya sana..mtu kama unaona mahusiano yako hayaendi sawa please kua mvumilivu na umuombe Mungu kila kitu will work out...nimekuja na mada hii kwasababu leo nimeshuhudia mtu anatapeliwa 1 million hvi hvi kisa mapenzi...Ningekua na uwezo hawa watu so called waganga ningepiga life sentence..eti ohh wanarudisha mpenzi..this is bullshit.!yaani hawa watu ni chanzo cha maovu mengi sana katika nchi yetu!
 
Uganga wa jadi, ushirikina, na imani ya mungu vyote ni utapeli tu.
 
nimependa hiyo ID....ila waganga wanaoibuka kwa jina la yesu ndo matapeli walioijaza dunia kwa sasa!
 
nimependa hiyo ID....ila waganga wanaoibuka kwa jina la yesu ndo matapeli walioijaza dunia kwa sasa!

Ni kweli..ila awa waganga wa vikopo ni wabaya..kesi za baba kumbaka mwana haziishi..apo unakuta mtu kaambiwa akifanya hvyo anakua tajiri..bora wa imani ya Mungu wanaiba sadaka tu
 
ulienda na huyo jamaa yako kwa mganga?
 
Back
Top Bottom