Utamu wa maisha

Utamu wa maisha

Eliezar Mlwafu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
449
Reaction score
140
MAISHA" Ni Magumu Sana Inakubidi Utumie Nguvu Na uweke Malengo Kama MANCHESTER UNITED, Uwe Na Juhudi Kama B/MUNICH, Pia Tumia Akili Kama BARCELONA, Epuka Kukata Tamaa Kama TAIFA STARS, Bali Uwe Mvumilivu Kama Mashabiki Wa ARSENAL, Ktk Shughuli Zako Muombe MUNGU Akupe Bahati Kama CHELSEA, Usipende Kuheshimiwa Kama REAL MADRID, Pia Usiwe Na Majungu Kama SIMBA na YANGA, Na Usiishi Kwa Historia Kama LIVERPOOL, Tena Usitumie Mbinu 1 Kama GUADIOLA, Pia Usipende Kuhamahama Kama MOURINHO na mwisho hakikisha unajituma kama MBEYA CITY.
 
nimeipenda hiyo ya epuka kukata tamaa kama TAIFA STARS
yani hata ukiitwa kichwa cha mwendawazimu wee songa mbele
ukikosa sapoti kwa wanaokuzunguka wee songa na hayo hayo yanayoitwa maandalizi duni mwisho wa siku utibuka na ushindi mnono
 
eh uwe na bidii na kujituma kama MBEYA CITY ALWAYS WORKING HARD.
 
nimeipenda.... afu kweli #chelshit wana bahati, tizama tayari wanashinda huko....
 
Back
Top Bottom