Kayoka
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 2,409
- 2,284
Wadau na wana MMU.
Naomba mnikumbushe majina ya nyimbo hizi na majina ya wasanii walioziimba kwani huwa zinanipa wazimu sana na kunipa wasaa mzuri wa kutabasamu.
1. Una lyric hz:
nakuhitaji, mpenzi wangu nakuhitaji-uniita, nakuhitaji mpenzi wangu nakuhtaji- unaniita, isagha we nguule, isagha wee nguule, unachotaka nitakupa,...
Usihofu mimi nh wako, kwani uko peke yako, huu wimbo una lafyuzi ya kinyakyusa ndani yake, wameimba mdada na mkaka kwa kupokezana.
Unaitwajwe huu wimbo wakuu?