yenyewe
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 621
- 94
Bila shaka mko poa wapendwa!
Nafikiri hakuna asieyejua kuwa mitandao ya kijamii imerahisisha sana mawasiliano kwa wapendanao, hasa pale wanapoeza kuchat sku nzima na wakati mwingine kuaminishana wanapendana kwa kuweka wazi mahusiano yao kwenye mtandao.
Pia lenye faida halikosi hasara. Kuna mahusiano mengi yamevunjika kwa sabab ya hii mitandao, na wengine wamekuwa wanaish na wapenzi wao katika hali ya wasi wasi sana.
Mfano: Mtu bila kujua kama mwenzake anaingiaga JF anakuja hapa na mada inayosema 'mpenz wangu anajamba sana wakati wa kufanya mapenzi unategemea huyo mpenzi wako akijua unavyoanika siri zake ambazo hujawahi kumshirikisha kuongea nae patakalika kweli?
Tukiachana na JF kuna suala la hii mitandao inayoonesha online status (last seen) unakuta mtu yeye akishaingia online ni siku nzima huwezi kumkuta kapumzika.
Ukimtumia meseji mpenzi wako anajibu baada ya dakika15 lakini kila ukiangalia yuko tu online. Hili suala linakera sana sasa sijui huyu mtu anakuwa na wapenzi wengi anaochat nao au vipi?
Nawe mwana MMU toa mawazo yako unavyoichukulia hii mitandao ya kijamii na suala la mahusiano.