Baba amtaka mwanae kimapenzi

Baba amtaka mwanae kimapenzi

baloteli15

Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
38
Reaction score
8
Ninampenzi wangu ambae nimedumu nae kwa takribani miaka miwili sasa na tumesha panga mikakati yetu ya kuoana.

Llakini jambo la ajabu baba yake anamtaka kimapenzi na jambo la ajabu anampa mpaka vitisho na kumtumia mesegi za ajabu za kimapenzi na kila meseji anayomtumia ananifowadia namimi nazisoma mpaka hapa jamani nimeshindwa la kufanya na anamwambia kuwa mpenzi ulie nae nitafanya juu china kumfanya jambo lolote baya ili yeye awe nae

wana great thinkers naomba msaada wenu je niachane nae huyo mpenzi maana nina wakati mgumu sana kimawazo na kiukweli mimi na yeye tumetokea kupendana sana.
 
Kuliko kuanzissha mada za uongo..bora usome za wengine tu
 
Mwisho wa dunia huu aisee dah! Huku Ushoga huku wazee wanataka kula matunda yao.
 
Hujui kituo cha polisi kilipo na ushahidi wote huo wa SMS ulio nao...
 
ninampenzi wangu ambae nimedumu nae kwa takriban miaka miwili sasa na tumesha panga mikakati yetu ya kuoana lakini jambo la ajabu baba yake anamtaka kimapenzi na jambo la ajabu anampa mpaka vitisho na kumtumia mesege za ajabu za kimapenzi na kila meseji anayomtumia ananifowadia namim nazisoma mpaka hapa jaman nimeshindwa la kufanya na anamwambia kuwa mpenzi ulie nae nitafanya juu china kumfanya jambo lolote baya ili yeye awe nae @ wana great thinkers naomba msaada wenu je niachane nae huyo mpenzi maana nina wakati mgumu sana kimawazo na kiukweli mimi na yeye tumetokea kupendana sana

Mzazi kumtaka kimapenzi mwanae ni kesi, hizo sms ni ushahidi tosha wa kumfikisha huyo mzazi mbele ya wazee wa familia yao kwanza then ikishindikana katika usuluhishi wa kifamilia ampeleke mahakamani!!

Unasubiri nini muda wote?? Unataka ushahidi wa mimba ya baba???
 
Eeh bwana wee kama hii hadithi unayotueleza hapa ina chembe ya ukweli basi huyo binti hajakupakulia stori nzima ilivyo; Sasa sikia kutoka kwa watu wazima juu ya ukweli wa hadithi yenyewe uko hivi;

Baba na binti yake huyo wapo au walikuwa tayari kwenye mahusiano kama wapenzi...Kilichotokea ni kwamba binti amemwambia baba 'Sasa basi imetosha au inatosha aachiwe naye apumue (Kwa mantiki niolewe au aendelee na maisha yake)...kilichotokea sasa ni kuwa baba mtu halielewi hilo somo🙂...ndo unaona wanababaisha...na binti anaona karibu kashfa inanukia anaanza kukutaarisha wewe kisaikolojia asije akapoteza mchumba..lol teh teh

Anyway! Ushauri wangiu kwako: usikubali kuonyeshwa text za kutoka kwa baba yake tu ukabweteka. Kama kijana makini anza kutumia mbinu za ki intelejensia. Na wewe peleleza mtiririko wa mawasiliano yao (kama atakuwa hayafuti) kupitia kwenye simu yake uone katika majibizanoo yao huwa anakuwa anamjibu nini baba yake?.

Hapo ndio utakapopata taswira kamili juu ya mahusiano ya hao watu wawili. Ikibidi peleza watu walio karibu na hiyo familia, utajua ukweli mzima.

Ni hayo tu, mengine kila la heri.
 
wakati anaanza kumtaka kimapenzi ilikuwa mwaka jana mwezi wa tisa ,lkn baada ya hapo ilnibidi nimwambie amweleze mama yake ,na hata alpo fanya hivyo walkaa na wakaongea lakn jambo la ajabu haukupita muda mrefu akawa ameanza tena vitendo kama hivyo lakni baada ya hapo mpenzi wangu alkuwa haniambii lakini nilpo kutana na mpenz wangu kuangalia simu yake nazkuta meseji za kutoka kwa baba yake nikamwuliza kwann huwa huniambii akanijbu anaogopa mm ntamwacha jambo ambalo nmefkia mm nmeona bora nimwache kwan naogopa kama ntakuwa nagombanisha familia yao
 
Ninampenzi wangu ambae nimedumu nae kwa takribani miaka miwili sasa na tumesha panga mikakati yetu ya kuoana lakini jambo la ajabu baba yake anamtaka kimapenzi na jambo la ajabu anampa mpaka vitisho na kumtumia mesegi za ajabu za kimapenzi na kila meseji anayomtumia ananifowadia namimi nazisoma mpaka hapa jamani nimeshindwa la kufanya na anamwambia kuwa mpenzi ulie nae nitafanya juu china kumfanya jambo lolote baya ili yeye awe nae wana great thinkers naomba msaada wenu je niachane nae huyo mpenzi maana nina wakati mgumu sana kimawazo na kiukweli mimi na yeye tumetokea kupendana sana.
Baloteli, siku nyingine ukiandika weka koma na full stops ili ueleweke vizuri. Utasema uhusoma somo la mwandiko ukiwa darasa la pili?!
 
Back
Top Bottom