Nataka kuoa uswahilini lakini hii tabia inanikera...

Nataka kuoa uswahilini lakini hii tabia inanikera...

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,934
Reaction score
3,253
Asalaamu alekhum waugwana

Mwezi wa 6 naitaji kuoa mwanamke wa kizaramo nahisi huyu ni modern woman kidogo kwani kaenda shule ata idea zake sio sawa na za akina ngumbe ,chandena doza.

Hofu ni kwamba nimewahi kushuudia harusi kadhaa za kizaramo na kuna haka katabia kananikera sana sijui kapo katabia chenyewe ni kwamba mkienda kuoa atakuja mjomba wa bibi harusi atataka hela ya koti then atakuja shangazi atakuja atataka kanga mara atatokea jirani atataka hela ya unga kifupi inakua ni kero tupu haka katabia bado kapo.
 
Nimependa salam,mengine nawaachia wengine
 
Duuuuuh!!!!!!!! Pole ukitaka mke lazma kujtuma ili wajue mwanao kwel kapata mume mwenye kujal mpk ndugu!!!!!!
 
Hako si katabia, ni mila. Na si kwa wazaramo tu, hivyo jipange kutoa.
 
Hizo ni mila na desturi tu bt sio lazima ila kiungwana kama kweli wewe ni muafrika na unajua kuna mila na desturi na inakupasa uzifuate.. Ukitaka cha uvunguni sharti uiname
 
Kila mmoja atakuja kwa wakati wake na utampa stahili yake yakiisha maisha yanasonga ukizingatia pia si lazima
 
asalaamu alekhum waugwana
Mwezi wa 6 naitaji kuoa mwanamke wa kizaramo nahisi huyu ni modern woman kidogo kwani kaenda shule ata idea zake sio sawa na za akina ngumbe ,chandena doza..
Hofu ni kwamba nimewahi kushuudia harusi kadhaa za kizaramo na kuna haka katabia kananikera sana sijui kapo
katabia chenyewe ni kwamba mkienda kuoa atakuja mjomba wa bibi harusi atataka hela ya koti then atakuja shangazi atakuja atataka kanga mara atatokea jirani atataka hela ya unga kifupi inakua ni kero tupu haka katabia bado kapo

umia ujae
 
bado kapo sanaa
mbona mambo madogo sana hayo yanakuumizaje kichwa
 
asalaamu alekhum waugwana
Mwezi wa 6 naitaji kuoa mwanamke wa kizaramo nahisi huyu ni modern woman kidogo kwani kaenda shule ata idea zake sio sawa na za akina ngumbe ,chandena doza..
Hofu ni kwamba nimewahi kushuudia harusi kadhaa za kizaramo na kuna haka katabia kananikera sana sijui kapo
katabia chenyewe ni kwamba mkienda kuoa atakuja mjomba wa bibi harusi atataka hela ya koti then atakuja shangazi atakuja atataka kanga mara atatokea jirani atataka hela ya unga kifupi inakua ni

w.w.w
kaka tangulia nami niko nyuma yako unipe mauzoefu mana shawekezamo nami. shatia mashikio pamba siskizi la kusemwa
 
vijana wa siku hizi mnapenda vya ubwete... sasa hapo la ajabu lipi... chop de money wakuone wa ukweli wewe vp jombaa..
 
Kaoe uchagani hakuna gharama, ni mbege tu kwisha kazi, ukiwanunulia wazee mbege umemaliza...
 
Hizo ni mila na desturi tu bt sio lazima ila kiungwana kama kweli wewe ni muafrika na unajua kuna mila na desturi na inakupasa uzifuate.. Ukitaka cha uvunguni sharti uiname

Samahan, unauhusiano gani na @HorseArch
 
Back
Top Bottom