Eliezar Mlwafu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 449
- 140
Utafiti umebaini kuwa wakristo tunahiari kusafiri na SIMU kuliko BIBLIA!!, Tunaona bora kusoma SMS kuliko neno la MUNGU,...inakuwaje ununue SIMU ya elfu 50 ushindwe kununua BIBLIA ya elfu 10?, BIBLIA ya mkononi haihitaji CHARGE, VOUCHER na NETWORK lakini hatubebi...! MKRISTO BADILIKA! pia imebainika kuwa tunapolala tunaweka SIMU karibu sana kuliko BIBLIA, na tunapoamka tunatafuta SIMU badala ya BIBLIA.., BADILIKA leo..tuma sms hii kwa wakristo 15 wasiisahau biblia.