Natafuta mama mtu mzima tuwe wapenzi.

Natafuta mama mtu mzima tuwe wapenzi.

Matanzia kizebazeba

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
654
Reaction score
630
mimi n kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 22 nahtaj mama mtu mzima tuwe katika mahusiano.
Kama uko interested ni pm
 
::
My God???
22yrs,,it must be a joke
=
 
Una matatizo we dogo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Weee bwn mdogo,mbona rika lako wamejaa wengi sana hao mabinti, yaani unamtafuta mama yako?
Hebu jizuie ni mi.hemko utengeneze maisha yako kwanza, hii digitali na dotcom mbona balaa!
 
mimi n kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 22 nahtaj mama mtu mzima tuwe katika mahusiano.
Kama uko interested ni pm
Mlugo kuwafelisha kidato cha nne kutapelekea wengi wenu muolewe na "mama zenu" ili wawalee. Maisha magumu sana hakuna jinsi.
 
hehehehe,makubwa yaani wewe ndo unategemewa siku moja kuwa baba wa familia,kichwa cha nyumba?unataka kulelewa
 
Weee bwn mdogo,mbona rika lako wamejaa wengi sana hao mabinti, yaani unamtafuta mama yako?
Hebu jizuie ni mi.hemko utengeneze maisha yako kwanza, hii digitali na dotcom mbona balaa!

utaliwa tigo dogo kwa kuendekeza njaa, je siku huyo mama akikulengesha kwa mashefa wanampa pesa utakua tayari? yaani inaonyesha basha akikutaka atafanya juhudi kidogo kukutoa bikra ya 0713
 
Vijana siku hizi wanapenda umalioo
 
Waziri wa Elimu unaona jinsi unazalisha tegemezi!! Sasa hawa watoto hawana kazi na wazazi hawana uwezo. Wamegeuka masharobaro sasa wamefikia Umario wanataka mama zao wenye hela wawape matanuzi mujini. Wewe Shari nenda karudie mtihani au kafanye QT. Mnataka vya bure toka kwa mama zenu, hamna adabu nyie.
 
tunaanza kuona madhara ya mass failure ya mwaka jana.vijana njaa kali kitaa
 
Back
Top Bottom